komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jaribu kumuelimisha mwenzako Venus StarHongera mkuu km hii yako mana hata mm nina mpango wa kupiga CPA(T) so kwa hili nakupa kongole mana sisi wahasibu tunajua ugumu wa hii kitu, safi sana ila uwache kujiita mchumi jiite muhasibu.









