effects za vitasa vya Jamiiforums umeenda kufungua twitter page ya facts worst enough by a Kenyan!
![]()
Tony254 ile facebook page mnayo-quote humu ni yako pia!

eti ananichukia as if inasaidia kuleta hela ya chakula nyumban kwangu 

geza nilikueleza kwa mdomo na porojo hamna wapinzani ila tukijikita kwenye facts tuanze kuangalia vitu kama hospital bed per population, doctor - patients ratio, mortality rate n.k tunawakanyaga sawa sawa.....mdomo tumewaachia jibambeniusipoteze muda wako hospitali tayari tulishawakanyaga!
![]()
Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals
Gatundu district hospitalwww.jamiiforums.com
sina muda huo fala wewe !geza nilikueleza kwa mdomo na porojo hamna wapinzani ila tukijikita kwenye facts tuanze kuangalia vitu kama hospital bed per population, doctor - patients ratio, mortality rate n.k tunawakanyaga sawa sawa.....mdomo tumewaachia jibambeni
ofcos huna muda kwasababu facts zitakuumbuasina muda huo fala wewe !
Bila Cubans Hakuna madaktari Kenya, ninyi tulitaka kuwasaidia madaktari kipindi kile mpo kwenye mgomogeza nilikueleza kwa mdomo na porojo hamna wapinzani ila tukijikita kwenye facts tuanze kuangalia vitu kama hospital bed per population, doctor - patients ratio, mortality rate n.k tunawakanyaga sawa sawa.....mdomo tumewaachia jibambeni
Tony umefanya vizuri kuweka certificates zako za Account. But sorry Account and Economics ni vitu viwili tofauti.Kwanza kwa sababu wewe ni mwanamke dume ambaye anapenda kupekua vitu vya watu na kueneza umbea basi wacha leo nikupe vitu ambavyo vitakukeep busy na umbea wako. Sasa mzee nataka uzunguke kote kote ukielezea watu kuwa mimi ni CPA(k). Yaani nimepiga CPA part 1,2 na 3 na kumaliza yote. Yaani mambo ya uhasibu haunisumbui hata kidogo. I am a certified public accountant of Kenya. Leo ninaweka certificates zangu za CPA parts zote 1 mpaka 3. Kumbuka part 1 ina section 1 na 2. Part 2 ina section 3 na 4. Part 3 ina section 5 na 6. Halafu siku nyingine ukiwashwa tena uje uniambie nikuwekee transcripts zangu za university tuone kama sikusomea uchumi kwenye university. Sijaribiwi mimi.
Halafu Geza Ulole wewe ndio juzi ulikuwa unajaribu kunifunza mambo ya public na private company? Mimi ni binadamu na binadamu hukosea. Unadhani sielewi mambo haya? Hapo nilikuwa nimekosea kidogo lakini wewe ukanidharau.
CPA part 1
View attachment 1672996
Part 2
View attachment 1672997
Part 3
View attachment 1672998
CPA nimepiga yote nikamaliza. Uhasibu haunisumbui mimi. Sasa nenda katangazie watu Mr Umbea Simon.
Cc joto la jiwe
Endelea kunenguaWho is afrcan full facts nijibu swali plz
View attachment 1672958
We ndio unaleta utoto na wakati uliumia ulipoipata hyo habariSo umepanic au kwann unakasirika sasa![]()

Kina nani hawana brtKuna moja umeruka apo, hzo nyingine huenda zinafanana so unaweza kujitetea ila kuna moja huwezi hata kuweka ufanano na kwa tahadhari tu umeiruka![]()

1. Najua accounts na Economics ni vitu viwili tofauti hakuna kitu unaniambia. Nina transcripts za economics ambayo nilisoma kwenye university lakini hizo sitapost kwanza. Nataka muendelee kunidoubt ndio niwaprove wrong. Mnapenda kudharau watu sana.Tony umefanya vizuri kuweka certificates zako za Account. But sorry Account and Economics ni vitu viwili tofauti.
Accountant is just an Advanced CASHIER.
Also hizo certificates mbona kama masomo ya online!? Vilevile CPA any person can do that nothing special bro hapo.
Pole sana Tony2541. Najua accounts na Economics ni vitu viwili tofauti hakuna kitu unaniambia. Nina transcripts za economics ambayo nilisoma kwenye university lakini hizo sitapost kwanza. Nataka muendelee kunidoubt ndio niwaprove wrong. Mnapenda kudharau watu sana.
2. Accounts is not advanced cashier. Hujui unachoongea wewe nyumbu. Unaonyesha ufala wako
3. Hizi certificates sio za online. Kasneb is a government exam body na exam tunaifanya manually darasani. Unaona ulivyo fala?
4. CPA sio rahisi unavyodhani. Drop out rate ya CPA iko juu sana. Watu wengi sana wanaoanza CPA hawamalizi. Haya mambo ya mahesabu sio rahisi hata kidogo. Mambo ya book-keeping na kubalance account sio kitu ambacho watu wa division 4 kama wewe wanaweza kufanya.
Mathematics za Account is just plus and minus.1. Najua accounts na Economics ni vitu viwili tofauti hakuna kitu unaniambia. Nina transcripts za economics ambayo nilisoma kwenye university lakini hizo sitapost kwanza. Nataka muendelee kunidoubt ndio niwaprove wrong. Mnapenda kudharau watu sana.
2. Accounts is not advanced cashier. Hujui unachoongea wewe nyumbu. Unaonyesha ufala wako
3. Hizi certificates sio za online. Kasneb is a government exam body na exam tunaifanya manually darasani. Unaona ulivyo fala?
4. CPA sio rahisi unavyodhani. Drop out rate ya CPA iko juu sana. Watu wengi sana wanaoanza CPA hawamalizi. Haya mambo ya mahesabu sio rahisi hata kidogo. Mambo ya book-keeping na kubalance account sio kitu ambacho watu wa division 4 kama wewe wanaweza kufanya.
Mpaka watu wa waliosoma Language wanasoma CPA.1. Najua accounts na Economics ni vitu viwili tofauti hakuna kitu unaniambia. Nina transcripts za economics ambayo nilisoma kwenye university lakini hizo sitapost kwanza. Nataka muendelee kunidoubt ndio niwaprove wrong. Mnapenda kudharau watu sana.
2. Accounts is not advanced cashier. Hujui unachoongea wewe nyumbu. Unaonyesha ufala wako
3. Hizi certificates sio za online. Kasneb is a government exam body na exam tunaifanya manually darasani. Unaona ulivyo fala?
4. CPA sio rahisi unavyodhani. Drop out rate ya CPA iko juu sana. Watu wengi sana wanaoanza CPA hawamalizi. Haya mambo ya mahesabu sio rahisi hata kidogo. Mambo ya book-keeping na kubalance account sio kitu ambacho watu wa division 4 kama wewe wanaweza kufanya.
Wakenya bwana, tukisema leteni picha za vitu halisi mnakimbilia kusema tugugo for some random fabricated information from untrustworthy sources,geza nilikueleza kwa mdomo na porojo hamna wapinzani ila tukijikita kwenye facts tuanze kuangalia vitu kama hospital bed per population, doctor - patients ratio, mortality rate n.k tunawakanyaga sawa sawa.....mdomo tumewaachia jibambeni

Mathematics za Account is just plus and minus.
Hakuna calculus, Statistics, Trigonometric kwenye Accounts.
Good job Tony, kitu nimegundua na hawa watu they talk a lot but know nothing. Ebu ambia huyo Venus guy aweke certificates zake hapa uone venye ataanza kuliaKwanza kwa sababu wewe ni mwanamke dume ambaye anapenda kupekua vitu vya watu na kueneza umbea basi wacha leo nikupe vitu ambavyo vitakukeep busy na umbea wako. Sasa mzee nataka uzunguke kote kote ukielezea watu kuwa mimi ni CPA(k). Yaani nimepiga CPA part 1,2 na 3 na kumaliza yote. Yaani mambo ya uhasibu hayanisumbui hata kidogo. I am a certified public accountant of Kenya. Leo ninaweka certificates zangu za CPA parts zote 1 mpaka 3. Kumbuka part 1 ina section 1 na 2. Part 2 ina section 3 na 4. Part 3 ina section 5 na 6. Halafu siku nyingine ukiwashwa tena uje uniambie nikuwekee transcripts zangu za university tuone kama sikusomea uchumi kwenye university. Sijaribiwi mimi.
Halafu Geza Ulole wewe ndio juzi ulikuwa unajaribu kunifunza mambo ya public na private company? Mimi ni binadamu na binadamu hukosea. Unadhani sielewi mambo haya? Hapo nilikuwa nimekosea kidogo lakini wewe ukanidharau.
CPA part 1
View attachment 1672996
Part 2
View attachment 1672997
Part 3
View attachment 1672998
CPA nimepiga yote nikamaliza. Uhasibu haunisumbui mimi. Sasa nenda katangazie watu Mr Umbea Simon.
Cc joto la jiwe

Bila Cubans Hakuna madaktari Kenya, ninyi tulitaka kuwasaidia madaktari kipindi kile mpo kwenye mgomo
Wewe certificates zako ziko wapi? Unajua nyinyi Watanzania mnajulikana sana kwa midomo yenu kubwa. Wewe niwekee certificate yako ya Metaphysics na Astrophysics. Niwekee hio certificate ya Software engineering unayosema kwamba ulisomea. Hapa sio vijiweni tunadeal na facts. Weka zakoPole sana Tony254
What so special with CPA!? Unaweza ukaniambia kitu gani cha ziada zaidi ya double entry!?
Asset = Capital
Asset = Capital + Liability
Sasa zaidi ya credit and debit nini cha ziada.
Account does not own money.
Unasoma miaka yote hiyo kuhusu
1. Financial Position
2. Financial Performance
3. Cash flow
jaribu kutafuta certificate zingine kuhusu vitu vingine.
Kama Cosmology, Metaphysics, Philosophy, Dark energy, political science etc.
Lakini mambo ya Account ni ya kitoto.
Which mathematics are difficult in Account!?
It's called Twitter na sio tweeterJamaa anakesha tweeter![]()

. Twitter is the app, tweeter is the person twitting