Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww maana ya jeshi huijui wewe [emoji1787][emoji1787] na ungekua unajua kwann north korea anaogopeka ndio ungejua maana ya jeshi kwann leo iran amekua tishio ndio ungejua maana ya jeshi kwa sasa ww niwakusamehewa tu
Anaogopewa kw sababu ana uwezo wakuunda vifaa vinavyoendana na technology ya sasa tena vya hatari..

Kwhyo hawajui km atakua anaunda nn, tanzania mpka mpeleka oder viwandani hapo kuna siri gani na wakati global fire power wana zuru kote kote hko
 
Pwahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What's special about these photos?. Ni kweli watanzania wengi ni vichaa .[emoji23][emoji23][emoji23]
Onesha kimoja ambacho mnamiliki apo ili twende sawa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Leta ushahidi kua magufuli aliidhinisha wakague jeshi ukipata mm nafunga acc jamii forum sasa hvi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Do you know why Global military power ranked Tanzania last in East Africa? It's because of things like these[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
IMG_20210102_134808_645.JPG
 
Wewe si ndio ulikuwa mtu wa Kwanza kutilia shaka ujenzi wa hii barabara. Ni mara ngapi uliitisha billboard ya ujenzi hapa? Kwa vile umepatwa na mshtuko kuona ni kweli inajengwa, sasa umebadilisha gear. Huitishi billboard tena ila sasa umekwama kwenye service fee. What will you talk next about this project?? 😂 😂 Ama wewe pia utaomba ianguke kama alivyofanya mmoja wenu wiki chache zilozpita? 😂 😂
So kwann unanililia mm badala ya kulia na mchina mwenye project yake 🤣🤣🤣🤣 sisi tutajenga mujenge pesa munayo??? Au musubiri kujengewa alaf mukamuliwe kende👇👇👇👇👇👇👇
Tumefungua mwaka hvi

 
Anaogopewa kw sababu ana uwezo wakuunda vifaa vinavyoendana na technology ya sasa tena vya hatari..

Kwhyo hawajui km atakua anaunda nn, tanzania mpka mpeleka oder viwandani hapo kuna siri gani na wakati global fire power wana zuru kote kote hko
Ati wanakuambia ni siri[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Military estates za kenya zilijengwa 60s and 70s... nyie ndo mwajenga sahii????? kweli maskini akipata matako hulia mbwata
Majumba marefu, barabara, madaraja, dams etc vyote wamepata karne hii basi wanajiona matajiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom