Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwmb mna brt, modern bus terminal, 3 level interchange, cable stayed bridge au co? Haya mmezificha wapi ss mbn hatuzioni? Yani ukitaka kujua Watz wanaakili zaidi ukanda huu angalia tumetumia only 1% of our brain for less than 15 years kufanya mambo ambayo hayapatikani East and central Africa [emoji3][emoji3]
We have all of them. Unataka nianze na gani? [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Ati jeshi ya Tanzania ni ya siri[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. How can you have secrets if you still have external figures with details of your army? How can have secrets if you still depend on UN to pay your soldiers? How can you have secrets if you still get military donations from other countries? How can you have secrets if you import everything you use in your army?
Umekula lakini!?
 
Asante kwa kujibu. Naona huwa mnapenda kujifanya kwamba mko civilised kushinda nchi zingine. Haya basi, swali la pili na la mwisho ni hili, ikiwa umenunua gunia nzima la viazi utakubaliwa kupanda basi la BRT kuelekea nyumbani?
kwa brt ni hapana kwa nani atakuekea kwe buti
1😛ikipiki(bodaboda)
2:kirikuuu
3:guta
4:hiace/dalala uikute ye buti au uikodi yote
5:au upunguze (utawanye)mzigo
 
Ati jeshi ya Tanzania ni ya siri[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. How can you have secrets if you still have external figures with details of your army? How can have secrets if you still depend on UN to pay your soldiers? How can you have secrets if you still get military donations from other countries? How can you have secrets if you import everything you use in your army?
akili ya [emoji205][emoji205][emoji205][emoji86][emoji85][emoji85] hii

uko kwenu mkipewa msaada mnaulizwaga na stock?
 
I can see point imefika penye inatakikana [emoji23][emoji23][emoji1787]
akili ya [emoji205][emoji205][emoji205][emoji86][emoji85][emoji85] hii

uko kwenu mkipewa msaada mnaulizwaga na stock?
 
Majumba marefu, barabara, madaraja, dams etc vyote wamepata karne hii basi wanajiona matajiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah kila kitu ni lazima kiwe kimepatikana ndiyo uwe nacho, km mtu alikuwa maskini lkn leo ni tajiri inakuwa hvyo kwmb ni tajiri, hata Amerika, China, Japan n.k. wote hao walikuwa maskini lkn leo ni matajiri na iko hivyo, hiyo yote ni kwasababu walipanga kuamua km sisi jinsi tulivyoamua.

Ninyi wenzetu bado mnaishi maisha ya muafrica wa stone age aliyeamini kuna mjomba atamletea maendeleo.

Btw, nioneshe madaraja, dams, majumba marefu mliyojenga karne iliyopita ili niache kujisifu mbele yenu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Ningeshangaa sana kama ungekosa kupost hiyo ndege yenu moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787].
Moja eeehh, unadhani sisi ni matabularasa km nyie, miaka 50 mnamiliki ndege 3[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Screenshot_20210102-171150.jpg
Screenshot_20210102-171133.jpg
Screenshot_20210102-171122.jpg
Screenshot_20210102-171004.jpg
 
Wewe umejua ni nini iliwaua kwanza?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].
Hujui English, soma vzr "10 Tanzanian soldiers die during military training"

Kwa kiswahili "Askari 10 wa kitanzania hufa katika mafunzo ya kijeshi" (manaake hufa kila mwaka wakati wa mafunzo)[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
JamiiForums-2104111595.jpg
 
Hatufanyi miradi ya kifala Kigamboni bridge ina mpaka monthly reduced payments kwa residents of Kigamboni!
Mnaiga iga vitu vya wazungu halafu wazungu wenyewe mnawachukia. Hivi unajua mambo ya kulipia barabara ni concept from capitalist countries? Sasa mbona nyinyi socialists mna toll road?
 
Asante kwa kujibu. Naona huwa mnapenda kujifanya kwamba mko civilised kushinda nchi zingine. Haya basi, swali la pili na la mwisho ni hili, ikiwa umenunua gunia nzima la viazi utakubaliwa kupanda basi la BRT kuelekea nyumbani?
Hakuna kupanda brt na gunia la viazi sawa!
 
Back
Top Bottom