Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yah tukifikisha 2% ya akili yetu hakuna nchi itakaribia Tz ktk dunia hii, mana kama tumetumia only 1% of our brain kufanya mambo makubwa hv ambayo huwezi kuta nchi nyingine EAC[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1665679View attachment 1665681View attachment 1665682View attachment 1665683View attachment 1665684View attachment 1665685View attachment 1665686View attachment 1665690View attachment 1665692
Pwahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What's special about these photos?. Ni kweli watanzania wengi ni vichaa .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
CBD.
tapatalk_1609591631328.jpeg
 
Yani wanajeshi wenu ni maembe sana, ni aje mtu anakufa kwa training?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Sasa akifika battlefield si atapotea[emoji23][emoji23]
Tena hii nmekupa na like kabisa kwa kukubali kwamba TPDF co mchezo, wkt tunamaliza form six nilikuwa nasikia ukienda jeshini km hajafa mtu basi hapo hakuna kitu, ila kwa bahati nzuri nilipangiwa Ruvu kule sio pagumu sn tukamaliza salama kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo akili yako ndogo ilikudanganya kuwa hapo ni Kenya?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
According to u ?? Hvi ww unafkiri jeshi ni sehemu kama bar that unatangaza kila kitu unaonesha kambi za jeshi kama vile unachanganya kvant na crest au???[emoji1][emoji1]

tatizo lako linishakwambia ww unajifanya kila kitu mjuaji alaf huna unalojua [emoji28][emoji28] tanzania imekomboa karibia nusu ya nchi zote africa leo unataka kufananisha jeshi la tanzania na kenya ambalo hata vita moja hamujapigana
Mumewakomboa wa kina nani hao, tena unajua maana ya ukombozi au unapuyanga tu
 
So unataka tutangaze jeshi kua kama vile vitumbua vinavouzwa?? Ikiwa kupiga picha jeshini unakatazwa itakua kukwambia kila kilichomo jeshini???
Hata viwandani pia hawajui km nyie mnamiliki vyuma vyao..
Manake mlificha kw oder
 
Jibu swali langu hao ndio wanajua siri zote za jeshi duniani kote ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona north korea haijulikani ???[emoji28][emoji28][emoji28]
Siku hizi naona unahemeshwa sana mpka unasahau emojis
 
Hizi ni vitu zinamilikiwa na vijana wa NYS bana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. So if I say that your army is in the level of NYS ntakuwa nimekosa?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio nimeshangaa mimi bwana mkubwa[emoji23][emoji23]
NYS wanaunda mpoa cushion za ndege
 
ndio sababu nikakuita wewe kinumbo,leo russia ikisema inazalisha ICBM,ikasema pia inauzia tz,unadhani itakwambia imeuza ngapi na mwaka wa mauzo!!!!!tena kama hujui ni marufuku mpaka mnunuzi aonyeshe mwenyewe,ndipo muuzaji aweke bayana rasmi.
Huyo sio wakubishana nae ni kilaza wa mfano wake kenya nzima 🤣🤣🤣 yani hata siri za chumbani kwake mzungu ndio anazijua kua ana chupi ngapi etc
 
Back
Top Bottom