Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hapa bado jwtz wanamiliki migodi 3 ya dhahabu!!
je kwa hizi project tunashindwa nini kuwalipa kdf na gsu + makazi juu mnapata

nyie [emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji85] jeshi lenu lina nini?
View attachment 1665581
Tony254
Teargass
MK254
komora096
msijifanye hamuoni
bado nawasubiri[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Fares za Kenya are always higher than those of Tanzania and nobody has ever complained[emoji23][emoji1787][emoji23]. People only complain when motorists start exploiting people by tripling the fares of a certain place.
Kweli kabisa, watu huaga hawalalamiki mpka pale waone jamaa waneanza ku hike fares..

Aulize mombasa nairobi msimu wa dec mwisho mwisho ilikua ngapi, maze ingelikua kule kwao wala wasingelisafiri haswa milele
 
mnaibiwa nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] m siezi panda gari limetenezwa na mapipa
20201214_144111.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Habari za Suriname unaleta hadi huku. Dah!! Ama ulidhani jina Suriname ni mahali nchini Kenya? 😂 😂 😂
 
Ati hawa ndio wanalinganisha na KDF[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]

View attachment 1665541
Tena hii nmekupa na like kabisa kwa kukubali kwamba TPDF co mchezo, wkt tunamaliza form six nilikuwa nasikia ukienda jeshini km hajafa mtu basi hapo hakuna kitu, ila kwa bahati nzuri nilipangiwa Ruvu kule sio pagumu sn tukamaliza salama kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kunakitu nlitaka niseme ila poa
 
huu mwaka kuna watu wataita maji mma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20210102_155430.jpg
20210102_155412.jpg
20210102_155351.jpg
 
Kwa jinsi wanavyovunja matofali of course ni the strongest 😂
jjjjjj.png

Uwe unaweka habari kamili kwamba ilikuwaje hao vijana wakafariki wakati wa mafunzo yao. Naona unachekelea sana wakati sio jambo la mzaha. Hao vijana inasemekana kuna vitu walikula ambavyo sio....
 
You have to understand that they only use 1% of their brain[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Yah tukifikisha 2% ya akili yetu hakuna nchi itakaribia Tz ktk dunia hii, mana kama tumetumia only 1% of our brain kufanya mambo makubwa hv ambayo huwezi kuta nchi nyingine EAC[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
JamiiForums-116671289.jpg
JamiiForums653371807.jpg
JamiiForums-690460552.jpg
JamiiForums-2083185270.jpg
JamiiForums1199133658.jpg
JamiiForums-387745197.jpg
JamiiForums-1049646182.jpg
JamiiForums1705971313.jpg
IMG_20201228_091455_807~2.jpg
 
Back
Top Bottom