Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you think importation only involves Tanzanian port?[emoji23][emoji1787][emoji23]. Kuna manufacturer, kuna transporters, kuna port ya exporting country. So mkidhani mtaficha siri, I'm sorry to let you know that the other players will reveal it[emoji1787][emoji23][emoji1787]

unadhani silaha za nchi zinanunuliwa kama boxer pantie[emoji16][emoji16][emoji16].

hakuna manufacturer kinumbo namna hiyo wa kurevieal silaha za mtu mwingine.ndio sababu huwa kuna parade ya silaha ya nchi husika.

sawa kinumbo[emoji38][emoji38]
 
Bado sijaona military estates zenu 😂😂

🇹🇿🇹🇿⚔️

These things are countrywide

jw4.jpg
2 (2).jpg
 
Hlafu wa tz mbona mwashindana na kenya kujenga sky scrapers????Hamjui kwamba skyscarppers hujengwa kutokana na demand ya space na wala sio kwa ushindani??
Ndio maana asilimia kubwa ya za kwenu hazina wateja..Oya Hapana shindana na ndov kunya..
 
unadhani silaha za nchi zinanunuliwa kama boxer pantie[emoji16][emoji16][emoji16].

hakuna manufacturer kinumbo namna hiyo wa kurevieal silaha za mtu mwingine.ndio sababu huwa kuna parade ya silaha ya nchi husika.

sawa kinumbo[emoji38][emoji38]
Acha ujinga[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]. For manufacturers to promote their products to other potential buyers, they must show the product they had already made and when it comes to military, they will even mention the country that the product from them.
 
Military estates za kenya zilijengwa 60s and 70s... nyie ndo mwajenga sahii????? kweli maskini akipata matako hulia mbwata
Hizi levels hamtokaa mfikie

Mkishashikwa matako na alshabab next stop ni kwenda kambini

JWTZ ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya kushika bunduki

maxresdefault (14).jpg
01.JPG
DSC_0365.JPG
DSC_0242.JPG
 
Zile kibera slums hahahahahaha
Go to google map and you will see kibera ni a very very small part of nairobi, like 1 percent... the rest of nairobi ni kama ngambo.. Na ukiwa hapo hapo angalia dareesalam kwa map uone dar yoye 90percent ni kama kibera.
 
Acha ujinga[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]. For manufacturers to promote their products to other potential buyers, they must show the product they had already made and when it comes to military, they will even mention the country that the product from them.
ndio sababu nikakuita wewe kinumbo,leo russia ikisema inazalisha ICBM,ikasema pia inauzia tz,unadhani itakwambia imeuza ngapi na mwaka wa mauzo!!!!!tena kama hujui ni marufuku mpaka mnunuzi aonyeshe mwenyewe,ndipo muuzaji aweke bayana rasmi.
 
Hlafu wa tz mbona mwashindana na kenya kujenga sky scrapers????Hamjui kwamba skyscarppers hujengwa kutokana na demand ya space na wala sio kwa ushindani??
Ndio maana asilimia kubwa ya za kwenu hazina wateja..Oya Hapana shindana na ndov kunya..
Umeacha kuongelea KDF. Umeshindwa unahamisha mada. Kwakwakwakwa
 
Go to google map and you will see kibera ni a very very small part of nairobi, like 1 percent... the rest of nairobi ni kama ngambo.. Na ukiwa hapo hapo angalia dareesalam kwa map uone dar yoye 90percent ni kama kibera.
Mimi huwa napenda uniwekee picha za estate zenyu za KDF
pwahahahahaha
Screenshot_20210102-125606.png
 
Siri za jeshi ni siri nyeti sana za nchi yani ndio nchi yenyewe huwezi pata ukweli wowote unaohusiana na jeshi lolote duniani mark my words [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Isipokuwa jeshi la Kenya, utajua kila kitu kuwahusu kwasababu ya sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom