Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wanajeshi wenu ni maembe sana, ni aje mtu anakufa kwa training?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Sasa akifika battlefield si atapotea[emoji23][emoji23]
Na ndiyo maana TPDF haijawahi kushindwa vita mana mpk uwe TPDF ujue ww kidume, ss nyie askari wenu KDF training miezi 3 na upon training hakuna askari hata mmoja anayejeruhiwa hata kidole, kwnn wasipige selfie [emoji1702][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Hiyo akili yako ndogo ilikudanganya kuwa hapo ni Kenya?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ss kwn ni ajabu midege yenu kuanguka? Km unabisha ngj uone huu mwezi km utaisha, save hii comment [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Anaogopewa kw sababu ana uwezo wakuunda vifaa vinavyoendana na technology ya sasa tena vya hatari..

Kwhyo hawajui km atakua anaunda nn, tanzania mpka mpeleka oder viwandani hapo kuna siri gani na wakati global fire power wana zuru kote kote hko
Kumbe anaogopewa na hakaguliwi ??🤣🤣 so kumbe jeshi lenu hua linakaguliwa na mzungu ndio maana hapo sasa nimekuelewa
 
Na ndiyo maana TPDF haijawahi kushindwa vita mana mpk uwe TPDF ujue ww kidume, ss nyie askari wenu KDF training miezi 3 na upon training hakuna askari hata mmoja anayejeruhiwa hata kidole, kwnn wasipige selfie [emoji1702][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Kwa vile wale wenye waliuliwa na wengine wakatoroka mbio kule Mtwara walikuwa akina nani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Tanga. Yaani ningekuwa serikali ningepiga ban hiyo aina ya mabati nchi nzima. Mabati yanayotoa kutu kirahisi yote ban! How is TBS okay with Such iron sheets? [emoji848]
Siku hz watu wanapiga msauzi tu hayo mabati wanajengea mabanda ya kuku [emoji215][emoji215][emoji3][emoji3]
 
Acha ushamba wewe, hayo ni mambo ya kawaida sana hku..tangu moi NYS wanafanya
etiiii....
20210102_142627.jpg
 
Nini maana ya ushawishi wa JPM na Tanzania?

Fikiria ni juzi tu Rais Xi kampigia JPM simu, JPM alikua hana hili wala lile kuhusu China hasa ukizingatia alivyoterminate Bagamoyo port, SGR project, mchuchuma projects na nyingine harshly

Lakini still Rais Xi alimpigia simu JPM na JPM akaingiza vocals zake kuhusu projects zake anazotaka tushirikiane na China lakini sio kwa masharti kama ya Bagamoyo, SGR, etc

Mara paap Rais Xi kamuelewa JPM and within no time Rais Xi faster anamtuma highest envoy kutekeleza mazungumzo yao

JPM hajapiga simu yeye, hajawahi hata kukanyaga China lakini kuna kanchi fulani kalipeleka serikali nzima na bunge lote China kumuomboleza wamaliziwe mkopo wa SGR na wakafukuzwa kama mbwa bila thumni 😂😂😂😂

Ila JPM katulia zake tu Chamwino lakini China inamfuata yenyewe, huu ndio ushawishi wa JPM na Tanzania

Mkuu viongozi wa mataifa mababe ikiwemo tanzania huwa hawasafirisafiri ovyo. Angalia viongozi wa mataifa yanayojitambua kama huwa wanaenda hata hiyo mikutano ya umoja wa mataifa wanatuma wawakilishi tu.
Kiusalama ni risk, sasa wale ombaomba wanavyopiga trip, Leo China, kesho Germany, UK, USA nk
 
Juzi jamaa kapeleka pua yake ufaransa kuomba mkopo wa kujenga km 5 za reli 🤣🤣🤣 na bado alivo kilaza kakopa commercial loan
 
Yah lazima kila mwaka wafe kwenye training, yn hapa umejitia kidole mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Wewe umejua ni nini iliwaua kwanza?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].
 
Tuko nazo zote.
Kwmb mna brt, modern bus terminal, 3 level interchange, cable stayed bridge au co? Haya mmezificha wapi ss mbn hatuzioni? Yani ukitaka kujua Watz wanaakili zaidi ukanda huu angalia tumetumia only 1% of our brain for less than 15 years kufanya mambo ambayo hayapatikani East and central Africa [emoji3][emoji3]
 
Ni kosa kupanda bus la umma au train na mfugo au mnyama wa aina yoyote ile kwa mujibu wa sheria za sumatra,ukinunua kuku au bata utajua mwenyewe namna ya kurudi kwako iwe kwa bodaboda au bajaj au upige reggae one two one two
Kwao ni kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kosa kupanda bus la umma au train na mfugo au mnyama wa aina yoyote ile kwa mujibu wa sheria za sumatra,ukinunua kuku au bata utajua mwenyewe namna ya kurudi kwako iwe kwa bodaboda au bajaj au upige reggae one two one two
Asante kwa kujibu. Naona huwa mnapenda kujifanya kwamba mko civilised kushinda nchi zingine. Haya basi, swali la pili na la mwisho ni hili, ikiwa umenunua gunia nzima la viazi utakubaliwa kupanda basi la BRT kuelekea nyumbani?
 
Ati jeshi ya Tanzania ni ya siri[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. How can you have secrets if you still have external figures with details of your army? How can have secrets if you still depend on UN to pay your soldiers? How can you have secrets if you still get military donations from other countries? How can you have secrets if you import everything you use in your army?
 
Back
Top Bottom