ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huyo jamaa hajui maana ya jeshi mumsamehe tu 😅😅😅😅 nimecheka sanaHujielewi kama jeshi la Tanzania lingekuwa la ovyo na Nchi ya Tanzania ilivyo na Mali nyingi kila sehemu tungekuwa tunavamiwa sana kumbuka tumezungukwa na nchi zenye uhaba wa ardhi ukianza na Kenya lakini hakuna yoyote anayejaribu kuchukua hata eneo dogo kwa sababu jeshi letu ni imara tunaweza kuingia Kenya na kunywa chai asubuhi asubuhi kwenye ikulu yenu na tukawawekea rais kwa sababu afrika mashariki na kati hakuna wa levo yetu kwenye vita.