Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

di
What is the speed limit? 'Cause that would rule out our argument.
different speed limits at different sections, generally though, you have to be driving faster on the innermost lane (first lane) than the next left lane and faster on the second left than the third left etc, this helps differenciate between drivers going a further distance than the other one or an express driver from one about to exit,the nearer you het to your location,the nearer you exit by keeping left.
matatus on the other hand mostly use the service lane because of regular drop-offs and pick-ups.
also trucks do not use the highway so in rare cases do you find high tonnage trucks(those are restricted to use the bypasses)
 
Sasa kwani lazima walipue siku hiyo hiyo wanayojaza?, wanataka wapate uhalali wa kuungwa mkono na dunia nzima, Ethiopia inadai kwamba kina cha mto Nile hakitoathirika, Egypt na Sudan wanasema kitaathirika, wanadubiri hilo bwawa lijae hadi juu, kisha waangalie, kama kina kitapungua, then wataiambia dunia kwamba Ethiopia ilidanganya hivyo kuhalalisha mashambulizi, Egypt haitaki kuzikasirisha nchi za Africa, lazima kuwepo na ushahidi wa kutosha.
Kama Egypt ilikuwa na nia ya kuilipua dam basi wangeilipua kabla ya bwawa kujazwa. Egypt hawawezi kuilipua sasa hivi kwani bwawa litavunja kingo na kumwaga maji Sudan. Kama umetazama kwenye ramani, dam hio iko karibu na border ya Sudan kwa hivyo maji yote yatamwagika Sudan. Halafu Kumbuka licha ya Ethiopia kujaza dam mwaka huu, bado Sudan wameathirika na mafuriko kwa hivyo Sudan wameanza kuona uzuri wa dam hili. Hili dam kwa sasa linashikilia 4.9 billion cubic metres ya maji. Hii maji kama haingeshikiliwa na Ethiopia mwaka huu basi ingeua watu wengi zaidi huko Sudan. Kuna fununu kwamba Sudan wameona umuhimu wa kusupport hii dam hadi ikamilike ili iwakinge kutokana na mafuriko. Mwaka huu watu 500,000 wameathirika na mafuriko huko Sudan.
 
According to whom?

Stop making assumptions.

Seven lane roads get backed up every morning in many major cities around the world, what are you talking about?
Man, I know the difference between a passing lane and driving lane but that doesn't explain why the merging lane on that freeway is short. How are you going to gain speed in that short path?
Tatizo liko kwenye ufupi wa barabara ya kuingilia ambapo kunatakiwa kuwe na urefu kiasi ili gari iweze kuchukua kasi kabla ya kuingia barabara kuu. Tofauti na hapo ni kuleta ajali. Angalia hapa chini barabara yenye kiwango, utaona kuna urefu wakutosha.

View attachment 1580114

Linganisha na hiki kituko..

2529280_2528963_images.jpeg

Kalagabaho.

una akili sana 🤣[emoji106][emoji122]
 
Kama Egypt ilikuwa na nia ya kuilipua dam basi wangeilipua kabla ya bwawa kujazwa. Egypt hawawezi kuilipua sasa hivi kwani bwawa litavunja kingo na kumwaga maji Sudan. Kama umetazama kwenye ramani, dam hio iko karibu na border ya Sudan kwa hivyo maji yote yatamwagika Sudan. Halafu Kumbuka licha ya Ethiopia kujaza dam mwaka huu, bado Sudan wameathirika na mafuriko kwa hivyo Sudan wameanza kuona uzuri wa dam hili. Hili dam kwa sasa linashikilia 4.9 billion cubic metres ya maji. Hii maji kama haingeshikiliwa na Ethiopia mwaka huu basi ingeua watu wengi zaidi huko Sudan. Kuna fununu kwamba Sudan wameona umuhimu wa kusupport hii dam hadi ikamilike ili iwakinge kutokana na mafuriko. Mwaka huu watu 500,000 wameathirika na mafuriko huko Sudan.
Sio kweli unayosema, kumbuka mwaka huu mvua zimenyesha nyingi zaidi kuwahi kutokea katika karne nzima, inasemekana mvua Kama hizi zilinyesha 1940s, kwahiyo hata kama hilo bwawa lingejazwa hadi juu lisingepunguza maji ya mto Nile.

Ugomvi na umuhimu wa maji ni katika kipindi cha kiangazi, kwasababu matumizi ya maji katika kumwagilia mashambani ni 100%, kipindi hiki cha mvua nyingi, matumizi ya maji kwa ajili ya kumwagilia ni 0%. Subiri mwaka huu kama mvua haxitonyesha vizuri usikie jinsi Sudan na Egypt watakavyolakamika kuhusu hilo bwawa.
 
Ethiopia hawatoweza kuzalisha umeme wa kutosha na inawezekana lile bwawa lao lisizalishe kabisa, Egypt na Sudan waneazimia kulivunjavunja kama wataendelea kulijaza, USA juzi imewaunga mkono.
Duh kwahyo lile bwawa la ET ni white [emoji208]
 
We want new things.
Hiyo google maps inaonesha old fashion. Maps za 2013, 7 year ago.
Tunataka current situation uhunye akiwa anaongoza Kenya.
Vitu kama hivi. Dar es salaam.View attachment 1580095View attachment 1580096View attachment 1580097View attachment 1580098
The one thing you need to understand is we can never have the same roads because it seems you want a picture showing something exactly similar/a duplicate of your own. even if the contractor who built the both of them is the same, they'll always come up with a totally different design that fits the area. na kama hio barabara haivutii kwako, remember that beauty lies on the eyes of the beholder.
some of those pictures are as latest as 2020 like this one. you can see the alsops intersection/flyover completely functional..
EZFlKE9XYAAivoc.jpeg
 
Wewe ulivyo 90% DNA composition yako ni Tanzania, una busara na mara nyingi unazungumza ukweli. Fuatilia huu mjadala unavyokwenda kwa busara, sasa subiri Kenyans original waanze kuchangia utaona utakavyokua.
Kweli kabisa huyu jamaa kdg inawezekana ana genes za kibongo mana kdg anajitambua [emoji3][emoji3]
 
Sasa kwani lazima walipue siku hiyo hiyo wanayojaza?, wanataka wapate uhalali wa kuungwa mkono na dunia nzima, Ethiopia inadai kwamba kina cha mto Nile hakitoathirika, Egypt na Sudan wanasema kitaathirika, wanadubiri hilo bwawa lijae hadi juu, kisha waangalie, kama kina kitapungua, then wataiambia dunia kwamba Ethiopia ilidanganya hivyo kuhalalisha mashambulizi, Egypt haitaki kuzikasirisha nchi za Africa, lazima kuwepo na ushahidi wa kutosha.
Ila mambo mengine yanakera sana yn mtu usitumie mali iliyopo kwako kisa eti jirani ataathirika!! wtf.
 
Mimi siongei kuhusu transmission lines. Transmission lines ni rahisi kujenga. Mimi naongea kuhusu mradi wenyewe. Huo mradi wa Nyerere hydro itachukua miaka kumi kukamilika, that is, kwa bahati nzuri ikiwa haitakufa kifo cha mende.
Hata ikikamilika itagenerate 2,000 MW na total power generation itakuwa 3,500 MW. Huu mradi ni white elephant kwa sababu demand ya umeme TZ ni 1,500 MW sasa hivi na miaka miwili zijazo itakuwa pengine 1,700 MW. Sasa mradi huu utakapozinduliwa miaka miwili zijazo, TZ itakuwa inagenerate 3,500 MW ilhali nyie mtakuwa mnatumia 1,700 pekee na kupoteza 1,800 MW. Hio ni kutupa pesa. Nchi yenu haina viwanda vya kutosha ili kujustify kujenga hydropower kubwa hivyo. Mtavuja pesa sana. 80% ya hio power haitatumika.
Tony 254 ujue ..huwa nakuheshimu sana..ila sasa unaingiza feelings kwenye argument..

Sawa Tz demand ni around 1500-1700 depending on peak hours...so we should wait hadi tuwe na demand ndo tuanze kujenga..?

Cha pili i assure you it wont take more than 5 yrs huu mradi utakuwa umeisha ...

Cha tatu ..Tunajenga SGR ya Umeme sio ya Mawese kama yenu....
Phase 1 tu inaweza ikala zaidi ya 70MW ..

Pipeline ya Uganda itaanza kujenga itatumia umeme

Tunamigodi mingi haijaungwa na umeme Mgodi mmoja unaweza kula Hata 50MW hata mpka 100mW

Residential areas zinakuwa na miji inakua ...mfano majengo ya pspf tu at full demand linaweza kula hata MW 3-5

Tuna expand ports na viwanda vinajengwa vipya...

Unataka kutuambia 2115mW ni white elephant..

Vipi nyie wenye demand ya 1800-2000mw ..na mnazalisha surplus ya 300-400mW..
 
Viwanda havijengwi kwa miaka miwili wewe dogo. Pia fahamu kuwa Uganda wanazalisha umeme zaidi ya mahitaji yao. Kenya pia inazalisha umeme kushinda mahitaji yetu. Hamna transmission lines kuelekea Congo. Pengine muuze SADC na hao hawawezi kununua huo umeme wote kwa hivyo mtapoteza pesa sana. Hio pesa mliotumia kujenga huo mradi itapotea.
Unajua South Africa wana mgao wa umeme hatari sana haujawai tokea .
 
Gas mumeanza kutumia juzi kwenye viwanda vyenu. Kiwanda cha Dangote kwa mfano kimeanza kutumia gesi juzi tu. Sidhani kama utumizi wa gesi umepunguza utumizi wa umeme kwa zaidi ya Megawati 500
Kulikuwa na gas ya songas ...Sasa hivi tunatumia ya songas na mtwara...Twiga cement mfano wanatumia 40MW gas from Songas gas pipeline wana miaka hata 15 sasa hivi
 
Duh kwahyo lile bwawa la ET ni white [emoji208]
Kuna uwezekano mkubwa sana lisizalishe umeme katika kiwango chake chote, labda nusu ya uwezo wake, kwa ujumla Ethiopia hawakutumia busara kujenga bwawa kubwa kiasi kile, tena mpakani na nchi jirani bila kukubaliana wote, Ethiopia ilipaswa kushirikiana na Sudan kulijenga kama tulivyofanya Tanzania, Rwanda na Burundi kule Rusumo.
 
Kama Egypt ilikuwa na nia ya kuilipua dam basi wangeilipua kabla ya bwawa kujazwa. Egypt hawawezi kuilipua sasa hivi kwani bwawa litavunja kingo na kumwaga maji Sudan. Kama umetazama kwenye ramani, dam hio iko karibu na border ya Sudan kwa hivyo maji yote yatamwagika Sudan. Halafu Kumbuka licha ya Ethiopia kujaza dam mwaka huu, bado Sudan wameathirika na mafuriko kwa hivyo Sudan wameanza kuona uzuri wa dam hili. Hili dam kwa sasa linashikilia 4.9 billion cubic metres ya maji. Hii maji kama haingeshikiliwa na Ethiopia mwaka huu basi ingeua watu wengi zaidi huko Sudan. Kuna fununu kwamba Sudan wameona umuhimu wa kusupport hii dam hadi ikamilike ili iwakinge kutokana na mafuriko. Mwaka huu watu 500,000 wameathirika na mafuriko huko Sudan.
Kwanini mu import 400mw from Ethi wakati mna surplus ya 1000mW
 
Jambo moja zuri zaidi ni huu mpango wa kusambaza pipe za gasi hadi katika nyumba kwa ajili ya kupikia, zaidi ya nyumba 500 zimeshaunganishwa Dar, Mtwara na Lindi zoezi linakwenda kwa kasi Sana.

Zaidi ya gari 1000 zimeshafungwa mitungi ya gesi zinatumia gesi, Mabasi ya mwendo kasi ifikapo 2023 yoteeyatakua yanatumia gesi. Hiyo ndio Tanzania ambayo Kenya inajaribu kujilinganisha nayo.
There has been a rise of LPG powered vehicles in Kenya over the last 10years. Electric cars are now as common in Nairobi as regular petrol vehicles.
 
Back
Top Bottom