Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguza maneno mengi,

Kitu nimenotice humu jamiiforums ni kwamba wakenya wengi hawapendi kufanya research na ndio maana huwa mnapenda kuandika ujinga mkiitishwa evidence mnapanic ovyo, hamna information za kutosha kuhusu nchi yenu,

- Besides Uganda, Kenya also imports power from Ethiopia to feed the neighbouring Moyale town,

- Tanzania sells power to Kenya’s parts not connected to the national grid via Lunga Lunga.
Sasa hio ya Moyale pia unahesabu? Sisi tunangoja 400 MW kutoka Ethiopia transmission line ya HDV itakapokamilika.
 
Viwanda havijengwi kwa miaka miwili wewe dogo. Pia fahamu kuwa Uganda wanazalisha umeme zaidi ya mahitaji yao. Kenya pia inazalisha umeme kushinda mahitaji yetu. Hamna transmission lines kuelekea Congo. Pengine muuze SADC na hao hawawezi kununua huo umeme wote kwa hivyo mtapoteza pesa sana. Hio pesa mliotumia kujenga huo mradi itapotea.
Nani dogo!?
 
Huyo IamLee ameweka picha real zaidi ya kumi. Rudi nyuma ukazitazame. Wacha kujifanya hujaziona
Jambo moja zuri zaidi ni huu mpango wa kusambaza pipe za gasi hadi katika nyumba kwa ajili ya kupikia, zaidi ya nyumba 500 zimeshaunganishwa Dar, Mtwara na Lindi zoezi linakwenda kwa kasi Sana.

Zaidi ya gari 1000 zimeshafungwa mitungi ya gesi zinatumia gesi, Mabasi ya mwendo kasi ifikapo 2023 yoteeyatakua yanatumia gesi. Hiyo ndio Tanzania ambayo Kenya inajaribu kujilinganisha nayo.
 
Nadhani uko less informed....hawa jama wako na mashine mpka zakutengeneza vipuli ....na hawajanza kunda magari jana wala leo...to 1970s huko....uniambie watashindwa kunda gari ndogo?....wametengeneza mpka gari za zima moto
Ila wameimport engine, sindio?
 
Jambo moja zuri zaidi ni huu mpango wa kusambaza pipe za gasi hadi katika nyumba kwa ajili ya kupikia, zaidi ya nyumba 500 zimeshaunganishwa Dar, Mtwara na Lindi zoezi linakwenda kwa kasi Sana.

Zaidi ya gari 1000 zimeshafungwa mitungi ya gesi zinatumia gesi, Mabasi ya mwendo kasi ifikapo 2023 yoteeyatakua yanatumia gesi. Hiyo ndio Tanzania ambayo Kenya inajaribu kujilinganisha nayo.
Kuanzia mwaka wa 2017 mlikuwa mnaongea kuhusu mradi wa kusambaza gesi majumbani. Sasa mwaka wa 2020 unaisha, kumbe mumesambaza gesi kwa nyumba 500 tu? Kweli malazy mnashangaza.
 
We don't import power from Ethiopia. Sasa unapingana na mimi?

Kenya electricity imports from Uganda triple to $33.7m

THURSDAY NOVEMBER 16 2017
powr

High voltage power lines. Kenya’s payment to Uganda for electricity imports more than tripled in the first eight months of the year. PHOTO FILE | NMG
Summary
  • Uganda is gaining from the increased sale to Kenya, which imported 168 million kilowatt hours (kWh) in the period.
  • At Ksh21 ($0.20), the Uganda power is seven times costlier than hydropower generated from local dams.
  • The country experienced drought last year after low rainfall during the March –June season, which drove down water levels in dams and ultimately cut hydro power.
ADVERTISEMENT

BDgeneric_logo

By BUSINESS DAILY
More by this Author

Kenya’s payment to Uganda for electricity imports more than tripled to Ksh3.5 billion ($33.7 million) in the first eight months of the year, driven by a higher tariff and increased purchases from Kampala.

Nairobi is now feeling the pain of a higher tariffs pact the two countries inked in 2014 that puts cross border purchase of electricity at Ksh21 ($0.20) per kilowatt hour (kWh), up from between Ksh8 ($0.08) and Ksh10 ($0.10).

Uganda is gaining from the increased sale to Kenya, which imported 168 million kilowatt hours (kWh) in the period compared to 47.7 million units in the same eight-month window last year, marking a 252 per cent growth, according to official data.

Kenya paid Uganda about Ksh1 billion ($9,638,560) for power sales in the first eight months of last year.

“The imports were necessary to serve Western Kenya as drought took a toll on Sondu Miriu hydropower station that supplies the region,” said the Energy Regulatory Commission.

At Ksh21 ($0.20), the Uganda power is seven times costlier than hydropower generated from local dams.

Drop in water levels

The country experienced drought last year after low rainfall during the March –June season, which drove down water levels in dams and ultimately cut hydro power.

The hydro electricity supply shortfall was plugged by increased intake of imports and expensive diesel-fired power, setting up Kenyans for costly energy bills.

Kenya has a direct electricity transmission line connecting with Uganda via Tororo, enabling bulk power imports.

Besides Uganda, Kenya also imports power from Ethiopia to feed the neighbouring Moyale town, which is not linked to the national electricity grid.

Kenya bought 2.4 million units of power from Ethiopia in the year to August, up from 1.9 million units in a similar period last year.

Official data shows that Kenya’s electricity exports to Uganda fell 83 per cent to 4.6 million units in the eight months, reversing a trend where the exports have been rising. This denied Kenya an opportunity to gain from the higher tariff of Sh21 per unit.

Uganda is the largest market for Kenyan goods and has recently been pushing for increased sale of its good to its neighbouring countries.

Kenya, Uganda and Rwanda plan to build a 400-kilovolt electricity line from Olkaria to Birembo in Rwanda.

Kenya electricity imports from Uganda triple to $33.7m
 
Punguza maneno mengi,

Kitu nimenotice humu jamiiforums ni kwamba wakenya wengi hawapendi kufanya research na ndio maana huwa mnapenda kuandika ujinga mkiitishwa evidence mnapanic ovyo, hamna information za kutosha kuhusu nchi yenu,

- Besides Uganda, Kenya also imports power from Ethiopia to feed the neighbouring Moyale town,

- Tanzania sells power to Kenya’s parts not connected to the national grid via Lunga Lunga.
Na hapo ndio utajua pengine hizo 2700mw ni zakwenye makaratasi...haningi akilin umeme huu nabado wananunua, walisema hawawez kunga sgr kwa umeme sababu ya umeme ndgo yet wana operate under surplus
 
ni ghali sana ku maintain geothermal ndio maana hatuna ratiba nayo kwa sasa
Sio ghali kumaintain. Ni ghali kuchimba na kujenga kiwanda chenyewe. Inahitaji a huge capital outlay ambayo nchi masikini kama yenu haiwezi kupata. Nchi tajiri tu ndio inayoweza kuchimba na kujenga geothermal. Kumbuka unaweza kuchimba shimo hata kumi na kukosa geothermal na kupoteza pesa nyingi. Inahitaji expertise ambayo nyinyi hamna.
 
Kwani Moyale ipo nchi gani?

Sasa umekubali kuwa mna import umeme kutoka Ethiopia!

Nini kilikuwa kinakufanya ukatae!
Hio ya Moyale haijafika hata megawati moja, ndio maana sitaihesabu. Sisi tunangoja laini ya umeme ya direct current ikamilike tuanze kupokea 400 MW kutoka Ethiopia. Grand Ethiopian renaissance dam ya Ethiopia iko karibu kukamilika.
 
Na hapo ndio utajua pengine hizo 2700mw ni zakwenye makaratasi...haningi akilin umeme huu nabado wananunua, walisema hawawez kunga sgr kwa umeme sababu ya umeme ndgo yet wana operate under surplus
Wana import umeme kutoka Tanzania, Uganda na Ethiopia,

Nadhani na huo umeme wao tuweke kwenye makaratasi kama tu uchumi wao.
 
Sio ghali kumaintain. Ni ghali kuchimba na kujenga kiwanda chenyewe. Inahitaji a huge capital outlay ambayo nchi masikini kama yenu haiwezi kupata. Nchi tajiri tu ndio inayoweza kuchimba na kujenga geothermal. Kumbuka unaweza kuchimba shimo hata kumi na kukosa geothermal na kupoteza pesa nyingi. Inahitaji expertise ambayo nyinyi hamna.
pima mkojo budaa kuna shida sehemu
 
Back
Top Bottom