Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
19.2 Kimara-Kibaha Highway U/C over 80% n loading..Leta comparison ya Thika road Tanzania
19.2 Kimara-Kibaha Highway U/C over 80% n loading..Leta comparison ya Thika road Tanzania
Leta comparison ya Thika road Tanzania
Tanzania bado mko nyuma ya Kenya. Huo ndio ukweli wa Mungu. Hata nyinyi wenyewe mnajuamkuu hawa jamaa walikuwa ni midomo sana.. na wanajua kujimarket balaa
to be honest, kbla ya hii thread nilijua kenya imeendelea kumbe ushuzi mtupu
Pengine unadhani nakudanganya ila ukweli ni kuwa Kenya inajenga bonge la barabara sasa hivi. Ukweli haubadiliki.mfano angalia text ya huyo jamaa alivyoongea![]()
Tuko nyuma kwa kipi!? Name three things!Tanzania bado mko nyuma ya Kenya. Huo ndio ukweli wa Mungu. Hata nyinyi wenyewe mnajua
19.2 Kimara-Kibaha Highway U/C over 70% loading..
Thika road ni 40 km. Huwezi kuilinganisha na kibarabara cha 19 km!!thika road ndio pekee ndio mmebakiza nayo inapatana na kibaha sasa hivi kwa mfuko,tupee BRT hapo nairobi.
1. Barabara
Dodoma ring Highway U/C is 110 km!Thika road ni 40 km. Huwezi kuilinganisha na kibarabara cha 19 km!!
Mzee Kibaha ndio barabara pekee Tanzania ambayo imekaribia hadhi la Thika road. Leni nane za Kibaha ni za kupewa heshima ila hamna barabara lingine lenye leni nane huko TZ. Hio Dodoma ring road ina leni ngapi?Dodoma ring Highway U/C is 110 km!
Ss muambie na yeye aoneshe japo sm1 ya kitu km hii huko kunyaland19.2 Kimara-Kibaha Highway U/C over 80% n loading..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Mzee Kibaha ndio barabara pekee Tanzania ambayo imekaribia hadhi la Thika road. Leni nane za Kibaha ni za kupewa heshima ila hamna barabara lingine lenye leni nane kama Kibaha. Hio Dodoma ring road ina leni ngapi?
Hio hatuna
Ndo mana tukafungua hii thread ili mtuoneshe kwa macho tuone cz msibaki na historia au uongo mliotengeneza mitandaoni na kuongopea watoto wenu.Tanzania bado mko nyuma ya Kenya. Huo ndio ukweli wa Mungu. Hata nyinyi wenyewe mnajua
Nimesoma hio mapu lakini haijaandikwa itakuwa na leni ngapi.
Huwa tukija kwenye battle ya posti niposti huwa mnatoroka kwa sababu Wakenya huwa wanaposti vitu hatari kuwashinda.Ndo mana tukafungua hii thread ili mtuoneshe kwa macho tuone cz msibaki na historia au uongo mliotengeneza mitandaoni na kuongopea watoto wenu.
an equivalent of a Dodoma ring road?Mzee Kibaha ndio barabara pekee Tanzania ambayo imekaribia hadhi la Thika road. Leni nane za Kibaha ni za kupewa heshima ila hamna barabara lingine lenye leni nane huko TZ. Hio Dodoma ring road ina leni ngapi?
Ndo mana tunasema tuko mbele cz hamuna hata 1cm ya BRT but cc highway tunayo hata km ni m5, ok onesha na hii km ipo kunyalandHio hatuna







