Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
8 us cents per unit ni cheap. Hydro ndio cheaper at 3 us cents. Geothermal ni cheaper than wind or solar.Sio priority kwetu esp. kama unit cost of electricity ipo high!
8 us cents per unit ni cheap. Hydro ndio cheaper at 3 us cents. Geothermal ni cheaper than wind or solar.Sio priority kwetu esp. kama unit cost of electricity ipo high!
We pimbi...usiniandikie kilugha cha kwenu " hujabeleghe" ni ujinga gani...yani nyie hamtakiwi kabisa kuzungumzia lolote kusu kiswahili sababu ni zero...au unatak kukeketwaEti hii ndio sheng ya Kibongo? Kukata maneno? Utakuwa hujabaleghe wewe.
Nimekufunza kitu leo. NishukuruKenya imports power from Uganda!
juzi ni lini? Kiwanda kikubwa cha bia east africa kimeanza kutumia gas asilia mwaka 2007 wewe unasema matumizi yameanza juzi?Gas mumeanza kutumia juzi kwenye viwanda vyenu. Kiwanda cha Dangote kwa mfano kimeanza kutumia gesi juzi tu. Sidhani kama utumizi wa gesi umepunguza utumizi wa umeme kwa zaidi ya Megawati 500
According to whom?Hii ni international design.
Stop making assumptions.Sitegemei wewe mkaazi wa Dar slum uielewe.
Seven lane roads get backed up every morning in many major cities around the world, what are you talking about?Hakuna foleni itakayofanyika maana barabara yenyewe ina leni tatu.
Man, I know the difference between a passing lane and driving lane but that doesn't explain why the merging lane on that freeway is short. How are you going to gain speed in that short path?Dereva anayeendelea na safari anaweza kutumia leni mbili zilizobaki, sio lazima atumie leni ya nje ambayo magari za exit na entry zinatumia.
Tatizo liko kwenye ufupi wa barabara ya kuingilia ambapo kunatakiwa kuwe na urefu kiasi ili gari iweze kuchukua kasi kabla ya kuingia barabara kuu. Tofauti na hapo ni kuleta ajali. Angalia hapa chini barabara yenye kiwango, utaona kuna urefu wakutosha.Kama ungekuwa dereva shupavu ungeelewa kuwa hilo leni la nje kabisa hutumika na magari zinazotaka kuingia na kutoka.
Halafu magari zinazoendelea na safari huwa zinatumia leni mbili za ndani. Sijui kama umenielewa.
Kalagabaho.Najua huko kwenu hamna barabara za leni tatu kama hizi. Nyie mumezoea leni mbili.
Kitu ninachopenda kukuhusu ni kuwa uko objective. Yaani kama kitu ni kibaya unasema ni kibaya hata kama ni cha kwako. Ila kama ni kizuri basi unasema ni kizuri hata kama ni cha adui wako.Picha ziko poa ukizingatia kwa miaka ile ndo ilikuwa inaonekana kenya iko mbele but kwa ss inabd mjenge mana technology imekua sn so inabd muondokane na infrastructure za kizamani unless tutazd kuwatesa kwa miundombinu ya kisasa mkuu.
Nani kasema? Sio lazima tufanye vitu unavyotaka wewe. Barabara ni international design, ilidesigniwa na kampuni kutoka China. Barabara za China zipo hivyo. Hii sio barabara ya tandale, Sawa?Tatizo liko kwenye ufupi wa barabara ya kuingilia ambapo kunatakiwa kuwe na urefu ili gari ichukue kasi. Angalia hapa chini barabara yenye kiwango, utaona kunaurefu wakutosha.
yes, Olkaria geothermal power is another tembo mweupe no TL to end users! Angalia ufalamanga wa Kenya power!Nimekufunza kitu leo. Nishukuru
Pia Kunyaland imports power from Ethiopia too!Nimekufunza kitu leo. Nishukuru
Nimekuambia transmission line ipo karibu kufika meaneo hayo. Hata hukuwa unajua kuwa maeneo hayo yanapata umeme kutoka Uganda hadi nilipokuambia halafu unaanza kuita Ol karia white elephant? Umeme mwingi wa Nairobi unatoka Ol Karia. Hata Mombasa inapata Umeme kutoka Ol Karia.Hujui maana ya neno "white elephant", rudi shuleni.yes, Olkaria geothermal power is another tembo mweupe no TL to end users! Angalia ufalamanga wa Kenya power!
Power imports from Uganda increase despite higher geothermal capacity, sustained rains
By MACHARIA KAMAU | January 10th 2020 at 12:00:00 GMT +0300
![]()
Kenya power officer attends a power line in Migori town on November 18, 2018. [Caleb Kingwara, Standard]
The amount of power that Kenya imported from Uganda last year significantly went up despite commissioning new geothermal capacity and generating more hydroelectricity as a result of heavy rains.
Over the 10 months to October 2019, the country imported 176 gigawatt hours (GWh) of power from Uganda, a 60 per cent increase compared to 110GWh imported over a similar period in 2018, according to data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).
The higher imports are despite KenGen having commissioned a 160-megawatt geothermal power plant at Olkaria last year. It is also against the backdrop of the rains the country experienced from May that would have boosted water levels in hydropower dams to allow for higher power production.
The country increases its reliance on imports, as well as other costly power sources such as thermal plants, to bridge the gap that occurs whenever there is a prolonged dry spell, resulting in reduced power production from hydropower dams.
The Ministry of Energy has in the past said Kenya resorts to importing power from Uganda due to a lack of proper infrastructure to transmit cheap power from sites like Olkaria to Western Kenya.
Ease access
In the absence of imports, the region has to rely on diesel generators as the 132-kilovolt line that can take power generated from Olkaria is in no shape to transmit electricity.
The Kenya Electricity Transmission Company is currently building a 400kV line from Olkaria to Lessos with an extension to Kisumu that is expected to ease power access for the region.
Last year, Kenya and Uganda renegotiated their terms of power trade and agreed to bring down the cost of electricity across borders. The cost of power bought from Uganda has been Sh10 per unit since June 2019, a reduction from upwards of Sh20 in the past.
Between January and October, power consumption increased by 2.7 per cent to 7,400 GWh from 7,206GWh. The marginal growth could be a pointer to the tough economic times that businesses went through in the course of 2019, with many power-intensive firms slowing down on electricity usage.
Cement production, for instance, dropped to 3.9 million tonnes between January and August 2019, compared to over four million tonnes produced over a similar eight-month period in 2018.
Power imports from Uganda increase despite higher geothermal capacity, sustained rains
Tatizo lenu wakenya hamjiamini, mkiambiwa kitu chochote na mtu mwenye ngozi nyeupe mnakubali tuu, hamjiongezi wala kubisha. Mbona wachina hao hao wanatujengea na sisi barabara na hata reli lakini husikii kingo zimemeguka? Umejiuliza ni kwa nini sisi hatupati mikasa hiyo? Hat hiyo interchange ya ubungo wachina walitaka kutubadilisha gia angani, tukawakatalia.Nani kasema? Sio lazima tufanye vitu unavyotaka wewe. Barabara ni international design, ilidesigniwa na kampuni kutoka China. Barabara za China zipo hivyo. Hii sio barabara ya tandale, Sawa?
We don't import power from Ethiopia. Sasa unapingana na mimi?Pia Kunyaland imports power from Ethiopia too!
Kenya’s power imports from Uganda up 281%
Kenya’s electricity imports from Uganda have grown 281 per cent in the six months to June as drought cut local generation of hydro-electric power by a third or 615.69 million kilowatt hours.
Kenya imported 131.6 million kilowatt hours (kWh) from Uganda in the first half of this year compared to 34.5 million units in the same period last year — marking a 281 per cent growth, according to official data.
This is a departure from last year when Kenya cut by half electricity imports from Uganda following the injection of the additional 280 megawatts geothermal power into the national grid in late 2015.
But the drought, which follows low rainfall during the October and November rainy season, has left at least 1.3 million people in need of food aid and driven down water levels in dams and ultimately hydro power.
Around 1.32 billion kWh of the energy supplied to the Kenyan grid came from hydropower in the six months, down from 1.93 billion units in the same period last year.
The supply shortfall was plugged by increased intake of imports and expensive diesel-fired electricity, setting up Kenyans for costly power.
Kenya has a direct electricity transmission line connecting with Uganda via Tororo, enabling bulk power imports.
Besides Uganda, Kenya also imports power from Ethiopia to feed the neighbouring Moyale town, which is not linked to the national electricity grid.
Kenya bought 870,000 units of power from Ethiopia in the first quarter, up from 740,000 units in a similar period last year.
Official data shows that Kenya’s electricity exports to Uganda fell 95 per cent to 740,000 units in the four months, reversing a trend where the exports have been rising.
Uganda is the largest market for Kenyan goods and has recently been pushing for increased trade with Nairobi.
Uganda has been exporting electricity to Kenya under an agreement signed during colonial times but renegotiated at Uganda’s insistence in 1997.
Kenya, Uganda and Rwanda plan to build a 400-kilovolt electricity line from Olkaria to Birembo in Rwanda.
http://www.chinagoabroad.com/en/article/kenya-s-power-imports-from-uganda-up-281
Kujenga body ni kazi rahisi. Mkianza kutengeneza engine uniite. Morocco na SA ndio nchi zinazoweza kutengeneza engine ya gari kuanzia mwanzo hadi mwisho.JWT wakiamua kuunda magari madogo na mini kabisa wanaweza...sijui kwanini hawataki kuchanga mkia hii fursa...na wateja wao wakwanza namini ingekuwa serikali wakati wakijitengenezea uaminifu kwa wananchiView attachment 1580118View attachment 1580119View attachment 1580121
Punguza maneno mengi,Kenya does not purchase any electricity from Ethiopia. Transmission line kati ya Kenya na Ethiopia bado haijakamilika.
Kenya inagenerate 2,800 MW na tunatumia 1,800 MW. Hio ina maana kuwa Kenya tuna surplus ya 1,000 MW. Sisi tuna umeme ya kutosha hatuhitaji kununua kutoka kwenu. Huwa tunanunua kutoka Uganda kwa sababu electricity grid ya Kenya haijafika kwa border ya Uganda kwa hivyo zaidi ya miaka hamsini iliyopita tuliruhusu Uganda kusambaza umeme kwa towns zilizo kwenye border, kwa mfano Busia. Ila sasa hivi tunajenga transmission line kuelekea maeneo hayo ya border na mradi upo 70% complete. Hivi karibuni tutawacha kununua umeme kutoka Uganda kwa ajili ya border towns.
Nadhani uko less informed....hawa jama wako na mashine mpka zakutengeneza vipuli ....na hawajanza kunda magari jana wala leo...toka 1970s huko....uniambie watashindwa kunda gari ndogo?....wametengeneza mpka gari za zima motoKujenga body ni kazi rahisi. Mkianza kutengeneza engine uniite. Morocco na SA ndio nchi zinazoweza kutengeneza engine ya gari kuanzia mwanzo hadi mwisho.
acha upuuzi sasa wewe huwez kusifia kitu kiroho safiSiku hizi naona anajitahidi kuongea kizungu japo ni kizungu cha kutafutilia.