Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,435
Sisi tuna surplus. Sasa unapinga? Halafu mbona umewacha kuandika kwa kukata maneno?Na hapo ndio utajua pengine hizo 2700mw ni zakwenye makaratasi...haningi akilin umeme huu nabado wananunua, walisema hawawez kunga sgr kwa umeme sababu ya umeme ndgo yet wana operate under surplus