Huwa najiuliza mpk kesho na sipati jibu, hivi Wakenya walitumia vigezo gani kusema wako mbele ya Tz kwa miundombinu mbn uchafu wa miundombinu uliojaa Nairobi siuoni Dar?
Ndo mana nasisitiza wakuu tuanze ku publish upya kunako mitandaoni cz Wakenya washakubali kwamba walikuwa wanajidanganya ss umefika muda mambo yawe hadharani ili foreigners hususan wazungu waondokane na ile dhana eti Kenya ni the most developed country in the region, huu ni uongo sn.
Tanzania is now more developed country than Kenya ktk mambo mengi na wenyewe Wakenya wameshakubali si mnaona hata Wakenya wa humu Jf cku hz wanakimbia nyuzi kwa kisingizio eti tunajisifia utoto lkn Wakenya hao hao utawakuta wamejazana kwenye nyuzi zinazoonesha kuwasifia japo kdg[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]