Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dangote mzee wa forexi
1000628925.jpg
 
Kwani ni nani alisema atauza hisa za asilimia 30? Ndio nauliza hadi Sasa ameshauza ngapi?
Wewe unajali kwanini.
30% ikiwekwa kwa soko, the only thing EAC wanapewa ni priority.
Lakini haimaanishi wengine watafungiwa. Pesa ni pesa.
Soko la Kenya pekee yake itanunua zote kama zitabaki.
 
Back
Top Bottom