The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Wakenya kujeni mumsaidie mwenzenu mbn mnamuacha pekeake kwnn hampendi ushirikiano nyie watu, mnasubiri mada inayo wa favour ndo mnachangia ila mada ikiwa inawabana mnatengana.
Sisi wenzenu tunapoona mTz mwenzetu anabananishwa tunaingia kum help mana mtu huwezi kujua kila kitu ila nyie mwenzenu Tony kabanwa huku mnamuangalia km hamumuoni vilee Wakenya bhn

Sisi wenzenu tunapoona mTz mwenzetu anabananishwa tunaingia kum help mana mtu huwezi kujua kila kitu ila nyie mwenzenu Tony kabanwa huku mnamuangalia km hamumuoni vilee Wakenya bhn