Kwanza, Mumeandikiana mkataba na nchi nyingine kwa mfano Congo kuwa watanunua umeme kutoka kwenu?
Pili, mumejenga transmission lines kuelekea nchi zinazohitaji umeme wenu?

Unaposema kwamba hizo MW zitapotea,hivi hujui malengo moja wapo wa mradi huu ni kuuza nje umeme?hivi hata Kama hamna viwanda vya kutosh kwa Sasa,nani alikwambia TZ haitajenga viwanda zaidi ya hivi vilivyopo na kutumia huo umeme?
Viwanda havijengwi kwa miaka miwili wewe dogo. Pia fahamu kuwa Uganda wanazalisha umeme zaidi ya mahitaji yao. Kenya pia inazalisha umeme kushinda mahitaji yetu. Hamna transmission lines kuelekea Congo. Pengine muuze SADC na hao hawawezi kununua huo umeme wote kwa hivyo mtapoteza pesa sana. Hio pesa mliotumia kujenga huo mradi itapotea.
Tanzania viwanda vikubwa karibu vyote vinatumia gas, kama viwanda vyote vingekua vinatumia umeme matumizi yangezidi maradufu ya Kenya, ila sababu vingi vinatumia gas asilia ndio maana inaonesha matumizi ya umeme viwandani ni madogo.
Gas mumeanza kutumia juzi kwenye viwanda vyenu. Kiwanda cha Dangote kwa mfano kimeanza kutumia gesi juzi tu. Sidhani kama utumizi wa gesi umepunguza utumizi wa umeme kwa zaidi ya Megawati 500
Mimi siongei kuhusu transmission lines. Transmission lines ni rahisi kujenga. Mimi naongea kuhusu mradi wenyewe. Huo mradi wa Nyerere hydro itachukua miaka kumi kukamilika, that is, kwa bahati nzuri ikiwa haitakufa kifo cha mende.
Hata ikikamilika itagenerate 2,000 MW na total power generation itakuwa 3,500 MW. Huu mradi ni white elephant kwa sababu demand ya umeme TZ ni 1,500 MW sasa hivi na miaka miwili zijazo itakuwa pengine 1,700 MW. Sasa mradi huu utakapozinduliwa miaka miwili zijazo, TZ itakuwa inagenerate 3,500 MW ilhali nyie mtakuwa mnatumia 1,700 pekee na kupoteza 1,800 MW. Hio ni kutupa pesa. Nchi yenu haina viwanda vya kutosha ili kujustify kujenga hydropower kubwa hivyo. Mtavuja pesa sana. 80% ya hio power haitatumika.
Mtu akisom ulicho andik ...nikama huelewek mara utakamilik miaka 10 ijayo mara km ukikamilik miaka 2 ijayo demand ni ndogo mtakuw meingiz hasar ..sijui unajiskiliz vzr ww mwenyew....alafu una ongea kwa kuweka other factors constant .... sector y viwanda ndio sector inayo kuja kwa speed sn....km hujui ilo observe kipind cha tiff uliona Tz ikiangaik kupata domestic goods?... pia ukizid manak tunaweza kuza...so acha kutoa argument za kitot
Usitengeneze information from nowhere kujitetea. Nani kasema ukanda huu umeme unatosha? Who the hell do you think you are to speak on behalf of nations? For all I know, Kenya does purchase electricity from both Uganda And Ethiopia.
Kenya does not purchase any electricity from Ethiopia. Transmission line kati ya Kenya na Ethiopia bado haijakamilika.
Kenya inagenerate 2,800 MW na tunatumia 1,800 MW. Hio ina maana kuwa Kenya tuna surplus ya 1,000 MW. Sisi tuna umeme ya kutosha hatuhitaji kununua kutoka kwenu. Huwa tunanunua kutoka Uganda kwa sababu electricity grid ya Kenya haijafika kwa border ya Uganda kwa hivyo zaidi ya miaka hamsini iliyopita tuliruhusu Uganda kusambaza umeme kwa towns zilizo kwenye border, kwa mfano Busia. Ila sasa hivi tunajenga transmission line kuelekea maeneo hayo ya border na mradi upo 70% complete. Hivi karibuni tutawacha kununua umeme kutoka Uganda kwa ajili ya border towns.
Gas mumeanza kutumia juzi kwenye viwanda vyenu. Kiwanda cha Dangote kwa mfano kimeanza kutumia gesi juzi tu. Sidhani kama utumizi wa gesi umepunguza utumizi wa umeme kwa zaidi ya Megawati 500
Zaidi ya miaka mitano gesi inatumika viwandani! Pipeline za kutoka kutoka Mtwara na Songosongo zipo tangu Kikwete's era!
Tanzania: Use of natural gas can boost economic growth
Mar 21, 2018
Featured image: Stock The use of domestically produced natural gas in Tanzania between 2015 to 2017 has resulted in a Sh8 trillion ($4 billion) economic savings.
Researcher Aristides Katto at the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) underlined that the use of locally-produced natural gas has not only saved funds, it has also increased the country’s energy sources, and stimulated economic activities.
The country reduced its dependence on heavy furnace oil (HFO), diesel, petrol, jet fuel and other fuels in operating machineries.
Katto noted that Tanzania saved $6.7 billion in 2015 alone, after turning away from HFO and diesel to natural gas to generate electricity.
It is reported that industries, which decided to use natural gas as a source of energy, saved about $653.48 million as a result in 2015, while other institutions that had also switched to using natural gas made savings amounting to $278,455 in the same year.
These savings are ample testimony to how the use of natural gas can boost economic growth for the country, Katto said, adding that “the figures also show that gas can promote the growth of other sectors of the economy”.
“As a country gearing up for industrialisation, Tanzania should bank on natural gas as one of the basic ingredients to making the industrialisation drive a success,” he added.
According to TPDC records, demand for natural gas has doubled from a total of 145 million standard cubic feet (mcf) per day in 2016 to 300mcf last year.
Extending natural gas supply
Last year, TPDC announced plans to draft a master plan for setting up infrastructure to supply natural gas to industries and households in selected regions.
Tanzania has 57 trillion cubic feet (tcf) of proven but largely undeveloped natural gas reserves, and expects to reap close to $5 billion annually in gas exports
revenue through the proposed liquefied natural gas (LNG) plant.
TPDC acting managing director, Kapuulya Musomba, noted: “At the moment, gas supply is ahead of demand. But, we are working to meet the needs as per the industrialisation plan.”
He said TPDC is currently carrying out a study to map out gas demands across the country.
So far, at least 42 industries have been connected to the natural gas supply system – although only 37 are fully using this energy source.
Also, two non-industry institutions are using natural gas at the moment, while 70 houses have already been connected to the natural gas pipeline, which runs from Ubungo to Mikocheni in Kinondoni District, Dar es Salaam.
We want new things.
Hiyo google maps inaonesha old fashion. Maps za 2013, 7 year ago.
Tunataka current situation uhunye akiwa anaongoza Kenya.
Vitu kama hivi. Dar es salaam.
Picha ziko poa ukizingatia kwa miaka ile ndo ilikuwa inaonekana kenya iko mbele but kwa ss inabd mjenge mana technology imekua sn so inabd muondokane na infrastructure za kizamani unless tutazd kuwatesa kwa miundombinu ya kisasa mkuu.
Kenya does not purchase any electricity from Ethiopia. Transmission line kati ya Kenya na Ethiopia bado haijakamilika.
Kenya inagenerate 2,800 MW na tunatumia 1,800 MW. Hio ina maana kuwa Kenya tuna surplus ya 1,000 MW. Sisi tuna umeme ya kutosha hatuhitaji kununua kutoka kwenu. Huwa tunanunua kutoka Uganda kwa sababu electricity grid ya Kenya haijafika kwa border ya Uganda kwa hivyo zaidi ya miaka hamsini iliyopita tuliruhusu Uganda kusambaza umeme kwa towns zilizo kwenye border, kwa mfano Busia. Ila sasa hivi tunajenga transmission line kuelekea maeneo hayo ya border na mradi upo 70% complete. Hivi karibuni tutawacha kununua umeme kutoka Uganda kwa ajili ya border towns.
Mtu akisom ulicho andik ...nikama huelewek mara utakamilik miaka 10 ijayo mara km ukikamilik miaka 2 ijayo demand ni ndogo mtakuw meingiz hasar ..sijui unajiskiliz vzr ww mwenyew....alafu una ongea kwa kuweka other factors constant .... sector y viwanda ndio sector inayo kuja kwa speed sn....km hujui ilo observe kipind cha tiff uliona Tz ikiangaik kupata domestic goods?... pia ukizid manak tunaweza kuza...so acha kutoa argument za kitot
Zaidi ya miaka mitano gesi inatumika viwandani! Pipeline za kutoka kutoka Mtwara na Songosongo zipo tangu Kikwete's era!
Tanzania: Use of natural gas can boost economic growth
Mar 21, 2018
Featured image: Stock The use of domestically produced natural gas in Tanzania between 2015 to 2017 has resulted in a Sh8 trillion ($4 billion) economic savings.
Researcher Aristides Katto at the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) underlined that the use of locally-produced natural gas has not only saved funds, it has also increased the country’s energy sources, and stimulated economic activities.
The country reduced its dependence on heavy furnace oil (HFO), diesel, petrol, jet fuel and other fuels in operating machineries.
Katto noted that Tanzania saved $6.7 billion in 2015 alone, after turning away from HFO and diesel to natural gas to generate electricity.
It is reported that industries, which decided to use natural gas as a source of energy, saved about $653.48 million as a result in 2015, while other institutions that had also switched to using natural gas made savings amounting to $278,455 in the same year.
These savings are ample testimony to how the use of natural gas can boost economic growth for the country, Katto said, adding that “the figures also show that gas can promote the growth of other sectors of the economy”.
“As a country gearing up for industrialisation, Tanzania should bank on natural gas as one of the basic ingredients to making the industrialisation drive a success,” he added.
According to TPDC records, demand for natural gas has doubled from a total of 145 million standard cubic feet (mcf) per day in 2016 to 300mcf last year.
Extending natural gas supply
Last year, TPDC announced plans to draft a master plan for setting up infrastructure to supply natural gas to industries and households in selected regions.
Tanzania has 57 trillion cubic feet (tcf) of proven but largely undeveloped natural gas reserves, and expects to reap close to $5 billion annually in gas exports
revenue through the proposed liquefied natural gas (LNG) plant.
TPDC acting managing director, Kapuulya Musomba, noted: “At the moment, gas supply is ahead of demand. But, we are working to meet the needs as per the industrialisation plan.”
He said TPDC is currently carrying out a study to map out gas demands across the country.
So far, at least 42 industries have been connected to the natural gas supply system – although only 37 are fully using this energy source.
Also, two non-industry institutions are using natural gas at the moment, while 70 houses have already been connected to the natural gas pipeline, which runs from Ubungo to Mikocheni in Kinondoni District, Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.