Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,218
- 4,043
Naona unasifia kinafasi finyu kama hicho...umewahi kusilkia wana diplomasia wa Tz?Ahmed Salim Ahmed,Rose Migiro,Ana Tibaijuka?..na sasa kuna kina Dr mwele.In the meantime View attachment 1508179
Naona unasifia kinafasi finyu kama hicho...umewahi kusilkia wana diplomasia wa Tz?Ahmed Salim Ahmed,Rose Migiro,Ana Tibaijuka?..na sasa kuna kina Dr mwele.In the meantime View attachment 1508179
umenifurahisha sana kaka huyo jamaa ni muongo sana kaka, yani umemukamata Hahahaa Tanzania hoyee.Hahahahahahahaaaa mwiziiiiii komora096 njoo huku utuhakikishie km hii road ni ya ThikaView attachment 1507798
acha uwongo wako wewe jamaa kwanini unaongopa wewe, hiyo barabara haipo kenya wewe jamaaCorrect.
Blog unayoleta imetumia picha kama mfano wa dualcarriage way. Hawajasema kuwa hii ndio barabara halisi ya Namibia.
View attachment 1507735



yani maendeleo kila mahali pa nchi wao kenya maendeleo ni nairobi tu alafu wanataka kushindana na Tanzania wataiwezea wapi hawa jamaa


Pia hizo nafasi za unaowataja ni finyu na hazina umaanaNaona unasifia kinafasi finyu kama hicho...umewahi kusilkia wana diplomasia wa Tz?Ahmed Salim Ahmed,Rose Migiro,Ana Tibaijuka?..na sasa kuna kina Dr mwele.
Wewe jamaa ni waajabu sana wewe jamaa wewe yani unataka kuwafananisha viongozi wa Tanzania ili iweje sasa au roho inakuuma kuona magufuli anawaka au inakuuma nini kwa mfano hebu tuelezee tukuelewe wewe ni gani wewe jamaa wewe yani sikuelewi kabisa pumbavu wewe.JK ndio alichangamsha sana sekta binafsi na kupendezesha miji yetu kwa majengo marefu kama haya,angekua Magu miji ingekuwa na vijengo vya chini iwe inaddarauliwa
Sasa si ungewawekea taa wewe mbona unaongeaongea tu vitu usivyovijua wewe jamaa hauwoni mitaani huku jinsi tulivyowekewa mataa barabarani yani mpaka raha unaongea nini wewe.Ndio maana hata mimi nikasema ifike mahara Viongozi wa Tzn waache kufikiria kimaskini na bila kuona mbele,karne hii sio ya kujenga barabara za single lane tena za surface dressing,walau kama hawawezi kuunganisha miji na miji basi sections za mijini ziwe dualing na mataa kabisa
Mfano kwa sasa Tarura wanajitahidi kujenga barabara za mijini kwa asphalt na wanaweka taa kabisaa but still ni single lane,mbaya zaidi barabara za Tanrodsa sio tu ni single lane but pia haziwekwi taa maeneo ya mjini sasa hii haipendezi
Atakuambia kwasababu hujui jinsi gesi inavyojazwa katika hiyo mitungi huko Kenya, ni mpaka ufike Nairobi ndio utajua kwanini inauzwa bei hiyo, hahahaha, hahahaha.mfani mdogo sana huu hapa
mtungi wa gas kg 6 unauzwa 3300ksh
wakat mtungi wa gas tz 15kg inauzwa 3800 ksh unweza kupima kww akili ukaona
View attachment 1508170
Nionyeshe barabara ya kenya ambayo wewe unasema ni dual carriage hebu nionyeshe wewe mjinga sio unaongea vitu usivyovijua wewe.Mambo kama haya hayatakiwi kuishia Dar na Dodoma tuu,nchii sasa miji mingi imekua na idadi ya watu ni kubwa,dualing of roads zifanyike miji yote mikubwa kama huko Kenya
Kwasababu maisha yakiwa Magumu sana huko kwenu, majambazi toka Kenya wanakuja kutusumbua huku Tanzania.I wish mgekua mnafuata mambo ya CCM kwa kina kama vile mnafuata mambo ya Kenya.
Twende taratibu mana leo nakamata mwizi, haya km kweli hyo barabara ni ya Thika hebu niambie hyo road niliyo circle kwa blue ink inaenda wapi na inaitwajeView attachment 1507793
yereew mji unang'aa jombaa naona chombo kwa maji towers kwa land Tanzania ni fire wakenya ni wanahala jombaa


Bring the proof mpuuzi we.
Nakuuliza swali kwahiyo hii ni road yenu?Wewe wacha ujinga. Barabara yote ya lanes mingi huwa na exits kadhaa. Hio ni exit ya kutoka main highway kwenda mitaa na vijijini vinavyokaribia.
Kenya barabara kama hizi majina yake ni 'Exit 1', 'Exit 2', 'Exit 3' na kadhalika.


KwahyoHizo picha nilikuongeza, wewe huwezi ona ni barabara moja?
Haya ongeza hii pia.
View attachment 1508222

ndo 

Despite the road quality, here are some of differences between ur ugly road and Namibian oneHizo picha nilikuongeza, wewe huwezi ona ni barabara moja?
Haya ongeza hii pia.
View attachment 1508222




Hahaha!!yamekushindaUnaniuliza wakati wewe ni mmoja wenye njaa!
Ndio manake nikakwambia ufike nairobi ndio ujue uhalisiaHakuna kujitetea, fare imeandikwa hapo kwenye hilo Gari, unataka nifike kufanya nini?. Hivi unataka kila mtu akitaka kujua gharama za maisha hapo Nairobi ni lazima afike Nairobi, hawezi kujua kwa kutumia internet?. Hahahaha


