kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,638
- 4,277
Usije rudia tena kuiba picha za watu ukasema za kenya sawa! Wanaume wanapambana kujenga nchi yao nyie vibaka mnaleta shobo pumbavu, tena unabana na pua kabisa " This is Thika to Kenol dual carriage" mwanaharamu weView attachment 1507524
Hii ni barabara ya Thika hadi Kenol.
Hio blog unayoleta haijasema kuwa bara bara iko Namibia. Imetumia picha tu kama mfano wa dual carriage.
Hii ni barabara nafamu vizuri kwani ni ya kuelekea nyumbani.
Lakini nikasema tu nikuletee picha zingine ili unyamaze. Sawa?


