Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,218
- 4,043
Tatizo hujafika nairobi na kujua km fare zinaendaje..Hahahaha, hata Marekani sio hivyo, tukiwaambia mpo katika Jahanam mnakataa. Hiyo maana yake ni kwamba " go and return trip" ni sasa na $8, kwa siku 30 ni sawa na $240. Hii hata wazungu ni ghali sana.
KweliHyo 12k kuna watu wa slums wanalipa pia

mko na shida mobu !!!!Ndio manake wabongo hku mambo yanawapiga chenga na kusalia barabarani kuombaomba..Inflation inapunguza purchasing power ya hela, ko sio ajabu na maisha yakaendelea kuwa magumu halafu unachekelea wazee wa slums, afu badae mnabwabwaja ooh! Nairobi ina GDP kubwa, kumbe ushuzi wa inflation!!hayo mambo wakenya hamuwezi elewa mumelewa sifa
Kama anaweza kulipa hiyo, kwanini anakufa kwa njaa?Hyo 12k kuna watu wa slums wanalipa pia
Nyani zitabisha
Ksh 43k utazitoa wapi wewe


Hiyo "KNEC" ni slum gani tena fafanua harakaHyo 12k kuna watu wa slums wanalipa pia
Shida mob na huo hku ni sawa na mshahara wa wafanyikazi wa ndaniKwelimko na shida mobu !!!!
Nenda katika kampuni yyte hko alafu uwaulize, majibu wanayoHiyo "KNEC" ni slum gani tena fafanua haraka
Kitu konki,inaizidi Nairobi advanced Chinese MGR terminus.a.k.a, mtambo wa gongo.dar es salaam👇👇👇
View attachment 1507903
Huyo wana diplomats watakuja kw shauri la kuwa wakamfungie kwao, huku wabongo uchina ni mwendo wa kamba shingoni tu..Ingelikuwa ni kenya wangelifungwa Wakenya af hao wachina wangeliachiwa, failed state
Raia wawili wa China na Mtanzania mmoja wahukumiwa miaka 30 jelaView attachment 1507857
Leo wamekufa wangapi kwa njaaKama anaweza kulipa hiyo, kwanini anakufa kwa njaa?