Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unalia nn, uchumi wako hauruhusu kuwa na electric rail huna la kufanya na hyo kitu niliyokuambia ni soon tu inakwenda kuwa implemented c mnatujua cc hatuna maneno mingi View attachment 1508296
Wawekee features zake. Hao bado wanaishi karne ya 20.
D76E891B-3579-4333-AE9A-C82FA2EE3227.jpeg
D83E7A56-F93B-499A-BCF0-EDC4D945D3A4.jpeg
 
Hiyo ndio maana halisi ya "Failed state", ina maana huwezi kupanga bajeti ya usafiri?, hiyo ni nchi ya hovyo sana. Siwezi kuja Nairobi kwasababu" Kenya is not safe".
Hapo fare tayari kwenda na kurudi ni mia, bt majamaa inabidi wacheza na time yao poa ku recover hela yao...

Utakuta kwenda kuna jam na kurudi nijia nyeupe..
So inabidi mcheze na akili ku recover hela yenu, wala sio kusubiria serekali iwapangie kila kitu na wakati saccos mnazo na akili mnazo
 
Wazembe kama wewe ndio wanaoshindwa maisha, lakini 95% ya watanzania wanaishi maisha mazuri, ndio sababu watanzania wengi hawakimbii na kwenda kuishi nchi za nje kama ilivyo huko Kenya. Hii inaonyesha ni jinsi gani pesa yenu ilivyopoteza uwezo wa kununu bidhaa.
Hahaha!!uhalisia unasema tofauti
Yani nchi ambayo ksh 12k ni pesa nyingi lkn bado kuna watu wanatembelea rimu..

Ajabu sana
Alafu naona wajifurahisha tu, na wakati karibia vijana wote wa kitanzania wanatamani kwwnda sauzi..
Mkenya hababaikii nchi za afrika bro
 
Hapo fare tayari kwenda na kurudi ni mia, bt majamaa inabidi wacheza na time yao poa ku recover hela yao...

Utakuta kwenda kuna jam na kurudi nijia nyeupe..
So inabidi mcheze na akili ku recover hela yenu, wala sio kusubiria serekali iwapangie kila kitu na wakati saccos mnazo na akili mnazo
Tunachotaka ni lazima kuwepo na "official fare" inayojulikana, hiyo kupunguza chini ya hapo huwezi kuweka katika bajeti, hiyo ni pale inapotokea, most of the time hiyo hutokea muda ambao sio "Peak hours".

Lakini muda wa asubui na jioni ambapo watu huenda na kurudi kazini " fare" inakua ni juu zaidi ya hiyo 200 iliyoandikwa hapo.

Jambo moja ninaloligindua toka kwa ninyi wakenya wengi hapa JF ni kwamba, wengi hamjatembea nje ya Kenya, mnadhani mambo yanayofanyika Kenya ni very unique, hayo yote unayosema kuhusu kypandisha na kushusha "fare" kwa kutegemea kama kuna jam au hapana, hutokea katika nchi zote za dunia ya tatu ambako bado mfumo wa kulipia "fare" hufanyika ndani ya chombo cha Usafiri, actually ni dalili ya kutoendelea.
 
Hahaha!!uhalisia unasema tofauti
Yani nchi ambayo ksh 12k ni pesa nyingi lkn bado kuna watu wanatembelea rimu..

Ajabu sana
Alafu naona wajifurahisha tu, na wakati karibia vijana wote wa kitanzania wanatamani kwwnda sauzi..
Mkenya hababaikii nchi za afrika bro
Watanzania wanaotamani kwenda South Africa ni Jobless, wakenya wametapakaa nchi zote za Africa, Nigerians, Somalians, Kenyans, Ethiopians, Yemen's, Libyans, na kutoka nchi za Africa ya kati, ndio raia wake wamekimbia nchi zao kwa wingi.

Huwezi kuta raia toka Seychelles, Mauritius, Botswana, Tanzania, South Africa, Namibia, au Zambia wanakimbia nchi zao kwa wingi.
 
Tunachotaka ni lazima kuwepo na "official fare" inayojulikana, hiyo kupunguza chini ya hapo huwezi kuweka katika bajeti, hiyo ni pale inapotokea, most of the time hiyo hutokea muda ambao sio "Peak hours".

Lakini muda wa asubui na jioni ambapo watu huenda na kurudi kazini " fare" inakua ni juu zaidi ya hiyo 200 iliyoandikwa hapo.

Jambo moja ninaloligindua toka kwa ninyi wakenya wengi hapa JF ni kwamba, wengi hamjatembea nje ya Kenya, mnadhani mambo yanayofanyika Kenya ni very unique, hayo yote unayosema kuhusu kypandisha na kushusha "fare" kwa kutegemea kama kuna jam au hapana, hutokea katika nchi zote za dunia ya tatu ambako bado mfumo wa kulipia "fare" hufanyika ndani ya chombo cha Usafiri, actually ni dalili ya kutoendelea.
Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..
Hilo najua miji mingi sana sana afrika hilo bado ni tatizo..lkn kuuelewa mfumo wa nairobi lazima uje ukae ndipo utaelewa km mambo yanaendaje..

Kamwe huwezi ielewa nairobi kw story za vijiweni
 
Watanzania wanaotamani kwenda South Africa ni Jobless, wakenya wametapakaa nchi zote za Africa, Nigerians, Somalians, Kenyans, Ethiopians, Yemen's, Libyans, na kutoka nchi za Africa ya kati, ndio raia wake wamekimbia nchi zao kwa wingi.

Huwezi kuta raia toka Seychelles, Mauritius, Botswana, Tanzania, South Africa, Namibia, au Zambia wanakimbia nchi zao kwa wingi.
Umeskia wapi hapa afrika wakenya wamekamatwa kw wingi na kurudishwa makwao kw wingi km vile nynyi, wanaija, ethiopians e.t.c

Etc leo unataka kujitoa ufahamu na mwaka huu wamerudishwa kibao
 
Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..
Hilo najua miji mingi sana sana afrika hilo bado ni tatizo..lkn kuuelewa mfumo wa nairobi lazima uje ukae ndipo utaelewa km mambo yanaendaje..

Kamwe huwezi ielewa nairobi kw story za vijiweni
One of the indicators of LDC country ndo hyo joto anasema.
 
Back
Top Bottom