Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda "may" get out of LDC once they start exporting oil. For Tz congratulations for your new status, but you can go back to LDC like Sudan if you are not careful.
Kweli mchawi sio lazima apae na ungo usiku, yani mtoto ndo kwanza kazaliwa unaanza kumtabiria kifo? sasa kaa ukijua dua la kuku halimpati mwewe, tunawapumulia kisogoni right now, subiri uone tutavyowatimulia vumbi tukiwapita few years to come. Endeleeni kuweka matanga hapo kunyaland kuomboleza new status ya TZ mana mlivyo na roho mbaya lazima mfunge turubai, poleni sana. Mungu ni wetu sote.
 
grossly Tanzania will get
$2,635,200 per day without hustle

Hapo tayari majority of the manpower kwenye huo mradi ni Tanzanians.
How will the majority of manpower be Tanzanians when already the pipeline is working? Even if "in case" it gets built, Tanzanians won`t be more than 100 during the operation.
 
CBD
IMG_20200703_164838.jpeg
 
Tunajua hatutapata zaidi ya Uganda lakini ukilinganisha hustle input ya Tanzania na Uganda kwenye mradi and outputs, it's obviously Tanzania ndio mnufaika mkuu.
That`s a big lie my friend. What you will get is even less than 20% of what Uganda will get daily.
 
How will the majority of manpower be Tanzanians when already the pipeline is working? Even if "in case" it gets built, Tanzanians won`t be more than 100 during the operation.
Its is expected 15,000 workers will be employed to build it....am sure about 5000 will be from Tz ..cause the longest section is in Tz...

Cha pili getting 876$million ...a year....that is enough for us kupiga SGR mpya mtwara -mbamba bay ...yan kila mwaka tunaweza jenga kilomita hata 200 za SGR ...

Cha tatu the pipeline will need power..which most of it will come from Tanesco ...to power the pumps and light at stations for works and security etc...

Cha nneAjira as direct zinaweza fika hata 500 pipeline ikisha ..ku supply food to stations ,security etc

Cha tano ..Meli zitalipa fee at Tanga port
 
ukipiga hesabu apo ni kama bil160 kwa mwezi bado tozo mbalimbali bandarini
zinatosha ingawa sio nyingi
ila faida za bomba kupita tz ni nyingi sana
vipi akitokea mw3kezaji wa refinery?
Washakubaliana abt refinery..tanzania alitaka anunue stake kwa 150$mil Kenya naye alikuwa anataka ila hii itakuja badae i think
 
Its is expected 15,000 workers will be employed to build it....am sure about 5000 will be from Tz ..cause the longest section is in Tz...

Cha pili getting 876$million ...a year....that is enough for us kupiga SGR mpya mtwara -mbamba bay ...yan kila mwaka tunaweza jenga kilomita hata 200 za SGR ...

Cha tatu the pipeline will need power..which most of it will come from Tanesco ...to power the pumps and light at stations for works and security etc...

Cha nneAjira as direct zinaweza fika hata 500 pipeline ikisha ..ku supply food to stations ,security etc

Cha tano ..Meli zitalipa fee at Tanga port
I`m talking about during the operation, not construction.
 
Bro 90% of this project is passing in Tanzania na Tanzania ni one of the project owners so unafiki waganda ndio watakuja kufanya kazi Tanzania?

Kweli heating stations, pumping stations, security services, delivering point, bandarini, refilling kwenye meli na sector nyingine zote upande wa Tanzania kazi zitafanywa na watanzania sababu we the owner too

Screenshot_20200703-172425.png
 
View attachment 1496565
Yes, I understand but you cannot say that you will benefit more than Ugana.
 
Back
Top Bottom