Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama mshahara wa MCA hautoshi kulipa nauli ya matatu kwa mwezi mmoja, unategemea MCA ataishi vipi kama sio wizi, rushwa na ujambazi?.

Sasa huku Tanzania hiyo pesa inatosha kulipia, house rent + nauli ya matatu + chakula kwa mwezi mzima. Hiyo ndio maana halisi ya nchi yenye maziwa na asali.
Na bado kuna watu maisha yanawashinda tanzania
 
Serikali ya kenya na vitu second hand.

z.PNG
 
Na bado kuna watu maisha yanawashinda tanzania
Wazembe kama wewe ndio wanaoshindwa maisha, lakini 95% ya watanzania wanaishi maisha mazuri, ndio sababu watanzania wengi hawakimbii na kwenda kuishi nchi za nje kama ilivyo huko Kenya. Hii inaonyesha ni jinsi gani pesa yenu ilivyopoteza uwezo wa kununu bidhaa.
 
Ndio manake nikakwambia ufike nairobi ndio ujue uhalisia

Nairobi ni place ambayo kuilewa mpka ufike na uishi kw mda kiasi..
Kw mfano:unaweza abiri matatu from point A-B alafu ukakuta fare ni 70, route hyo hyo at the same time mtu anayetoka point B-A analipa fare 30..

So uache ma feelings please, kuja ujione na ukubali kuzidiwa kwanza km mwwnzako aliyeuziwa kachumbari hoteli
Unajisifia ujinga.
 
Hiyo ndio maana halisi ya "Failed state", ina maana huwezi kupanga bajeti ya usafiri?, hiyo ni nchi ya hovyo sana. Siwezi kuja Nairobi kwasababu" Kenya is not safe".
 
Yes we do, don't you hear about mwakyembe commuter train, forget about it we are planning to build an elevated commuter rail which will be electrified as usual
Tuta tuta tuta gospel choir. Endelea kuimba tuta song.
 
Back
Top Bottom