The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hahahahahahahaaaa mwiziiiiii komora096 njoo huku utuhakikishie km hii road ni ya Thika [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni barabara ya Thika hadi Kenol.
Hio blog unayoleta haijasema kuwa bara bara iko Namibia. Imetumia picha tu kama mfano wa dual carriage.
Hii ni barabara nafamu vizuri kwani ni ya kuelekea nyumbani.
Lakini nikasema tu nikuletee picha zingine ili unyamaze. Sawa?