Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1594846487.591013.jpg
IMG_1594846498.443371.jpg
 
Hyo 12k kuna watu wa slums wanalipa pia
Kama mshahara wa MCA hautoshi kulipa nauli ya matatu kwa mwezi mmoja, unategemea MCA ataishi vipi kama sio wizi, rushwa na ujambazi?.

Sasa huku Tanzania hiyo pesa inatosha kulipia, house rent + nauli ya matatu + chakula kwa mwezi mzima. Hiyo ndio maana halisi ya nchi yenye maziwa na asali.
 
Ndio manake wabongo hku mambo yanawapiga chenga na kusalia barabarani kuombaomba..

Kuna siku nlisema, jamaa wa kibera akija bongo anakodi chumba cha elfu hamsini kijichi bila tatizo lolote
Kwa hiyo unajisifia mtu kupanga chumba!! sijui nani aliwaroga nyie 👐
 
Hakuna kujitetea, fare imeandikwa hapo kwenye hilo Gari, unataka nifike kufanya nini?. Hivi unataka kila mtu akitaka kujua gharama za maisha hapo Nairobi ni lazima afike Nairobi, hawezi kujua kwa kutumia internet?. Hahahaha
mfani mdogo sana huu hapa 👇👇👇
mtungi wa gas kg 6 unauzwa 3300ksh

wakat mtungi wa gas tz 15kg inauzwa 3800 ksh unweza kupima kww akili ukaona

BEBB776B-0823-45B9-A8D4-C5E58B606BFF.jpeg
 
Back
Top Bottom