joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Whaat? Nauli ya matatu sawa na TSh 4300!!Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja
Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na thamani hiyo hiyo Bongo anapata nini.
Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa Kenya ni KES
View attachment 1507440
Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.
View attachment 1507441
Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
Kifupi iyo note yenu haina purchasing power...kubwa km ya Tz...alafu mko mnapiga mayoe hapa200k hku ni mishahara ya MCAs
Kenyan 12-year old girl married to two men within a month>>>Kenyan 12-year old girl married to two men within a month https://t.co/OZCTjeA63h
Na watu wanapanda daily kwenda town kufanya kazi zao na kurudi..
Mwenzako kasema tayari vitu kote kote havipishani bei..Kifupi iyo note yenu haina purchasing power...kubwa km ya Tz...alafu mko mnapiga mayoe hapa
Inflation inapunguza purchasing power ya hela, ko sio ajabu na maisha yakaendelea kuwa magumu halafu unachekelea wazee wa slums, afu badae mnabwabwaja ooh! Nairobi ina GDP kubwa, kumbe ushuzi wa inflation!! 😂😂😂hayo mambo wakenya hamuwezi elewa mumelewa sifaNa watu wanapanda daily kwenda town kufanya kazi zao na kurudi..
Especially wasee wa ghetto na slums
Una mawazo ya kijinga,sehemu kama sumbawanga huwezi jenga 4 lanes..hayo ni matumizi mabovu ya fedha,labda kwa serikali za mafisadi tu ndo inawezekanaHuna akili we kiazi,kwa hiyo ukisikia dual carriage way unajua ni 6 lanes? huoni kwamba chizi ni wewe? punguza kula michembe na maharage ndio maana unakurupuka
Hahahaha, hata Marekani sio hivyo, tukiwaambia mpo katika Jahanam mnakataa. Hiyo maana yake ni kwamba " go and return trip" ni sasa na $8, kwa siku 30 ni sawa na $240. Hii hata wazungu ni ghali sana.Na watu wanapanda daily kwenda town kufanya kazi zao na kurudi..
Especially wasee wa ghetto na slums
haha hapo hata mm naeza eka hio pic nikasema nairobi 😂😂😂 siku utapara ushahidi hapo ni dar mm nafunga acc jamii forum
uhehehe mkikamatwa kwenye kende munaruka futi 200😂😂😂😂Nakuelewa kingereza kakuchapa chenga.
Patia anayelewa lugha ya wazungu statement yangu, akueleze kama nilisema imejengwa.
Mbona unajistukia

nyinyi ndiyo wakora wa kiberaKwa mwezi nauli ya matatu ni ni Ksh12000, sawa na TZS 250000, zaidi ya mishahara ya MCAs, kumbe ndio sababu rushwa na wizi haviishi Kenya.200k hku ni mishahara ya MCAs
Joto nyie hamjamuelewa,jamaa anatumia sanaa kuwakejeli wakenya..mueleweni jamaniKazingua sn joto hadi Wakenya wameshindwa kumuelewa na hakuna mkenya hata mmoja aliyemuunga mkono.
Du ksh200 !?? kwenda na kurudi ksh400Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja
Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na thamani hiyo hiyo Bongo anapata nini.
Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa Kenya ni KES
View attachment 1507440
Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.
View attachment 1507441
Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
Kwani wewe @komora huku soma "sant slave schools" sikuoni ukitumia inglishiii hata siku mojaCbd man![]()