ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,250
Mambo kama haya hayatakiwi kuishia Dar na Dodoma tuu,nchii sasa miji mingi imekua na idadi ya watu ni kubwa,dualing of roads zifanyike miji yote mikubwa kama huko Kenya
Hahahaha, hahahaha. Vichaa wameongezeka Tanzania, kweli Magufuli ametukamata pabaya sana.Hongera zenu wakenya,huku Tzn bado serikali inajenga barabara za single lane karne hii za kuunganisha miji na miji tena za surface dressing..Ifike mahali mtizamo wa akili uendane na uchumi wa kati,barabara kuu zinazokatisha miji mikuu ya mikoa ya nchi ziwejengwe dual carriage ili kukabiliana na ongezeko la traffic ,idadi ya watu na kupendezesha miji
Hata design ya barabara yenyewe itakuwa na standards kama ya sam-nujoma road sema hii itakuwa na sehemu ya waendesha baiskeli na itatenga maeneo ya kupitisha other utilities but pia inafanyika kulingana na masterplan ya DodomaAlafu hii kazi wamegewa makampuni makubwa kabisa ya China....hii CCECC imeonesha moto wake kwenye Interchange ya Ubungo yupo mbele ya Muda katika kuimaliza ile interchange na ndie aliyegewa daraja la Busisi ( daraja refu in east africa crossing water body).
Hii AVIC INTL Project Eng co.ltd ni kampuni ya hatari iliyofanya maajabu ya miradi mikubwa kule China asa kwenye upande super highways za China na pia ina viwanda vikubwa vya kutengeneza mitambo.
Hakika kwa upande wa kuchagua mkandarasi walituliza vichwa.
Hao huwa ni wapiga domo wa ccm huwa hawasemi ukweli maana kama ni statistics za maendeleo bora hata huko maana Dar tu ina GDP takribani 70% ndo rest of tzn zinagawana kilichobakia,hili hutasikia wakiliongeleaKwa wale wa kusema Kenya maendeleo yako Nairobi tu..
Hapa ni Muranga county panajengwa dual carriage way 84km through Kirinyaga county & Nyeri county.
Barabara hazijengewi idadi ya watu, bali ni idadi ya Magari, hivi unajua idadi ya magari Tanzania nzima ni kiasi gani?, unajua ration ya Magari kwa Population ya Tanzania vs Kenya?, hivi unajua "Vehicle density ya Tanzania vs Kenya?Mambo kama haya hayatakiwi kuishia Dar na Dodoma tuu,nchii sasa miji mingi imekua na idadi ya watu ni kubwa,dualing of roads zifanyike miji yote mikubwa kama huko Kenya
Ndio maana hata mimi nikasema ifike mahara Viongozi wa Tzn waache kufikiria kimaskini na bila kuona mbele,karne hii sio ya kujenga barabara za single lane tena za surface dressing,walau kama hawawezi kuunganisha miji na miji basi sections za mijini ziwe dualing na mataa kabisaKatika vitu nakubali Wakenya ni ujenzi wa dual carriageway mkoa kwa mkoa! Viongozi wenu wanajua barabara.
Kwa hiyo atumizi ya barabara ni kwa vehicles tuu si ndio? Suala la traffic count zinajulikana kuwa ndio kigezo lakini kusema kwamba eti hali hiyo haijafikia Tzn hasa mijini huo ni uongo na ubishi usio kuwa na faidaBarabara hazijengewi idadi ya watu, bali ni idadi ya Magari, hivi unajua idadi ya magari Tanzania nzima ni kiasi gani?, unajua ration ya Magari kwa Population ya Tanzania vs Kenya?, hivi unajua "Vehicle density ya Tanzania vs Kenya?
1)Kenya kuna Gari nyingi kupita Tanzania, wakati Tanzania ni kubwa Mara mbili ya Kenya.
2)Idadi ya Magari yanayopita ktk barabara za Kenya kwa 100Km ni Mara tatu zaidi ya Tanzania kutokana na udogo wa nchi yao na idadi kubwa ya magari ukilinganisha na Tanzania.
3)Ukiacha barabara ya Dar- Morogoro, barabara zingine zote hakuna wingi wa Magari unaohutaji hiyo unayoshauri wewe.
JK ndio alichangamsha sana sekta binafsi na kupendezesha miji yetu kwa majengo marefu kama haya,angekua Magu miji ingekuwa na vijengo vya chini iwe inaddarauliwa
JK ndio alichangamsha sana sekta binafsi na kupendezesha miji yetu kwa majengo marefu kama haya,angekua Magu miji ingekuwa na vijengo vya chini iwe inaddarauliwa
Hujui unachoongea,weka barabara hata 1 iliyojengwa na jeshi popote dunia haina michanga..local sijui michanga vinahusianaje na standards za ujenzi? mkandarasi anajenga mlichompa kulingana na pesa yenu awe local awe nani hakuna cha bure nduguMagufuli awezeshe jeshi kujenga barabara zote tz achane na local wa mitaani wanajenga barabara zimechoka na kufubaa kabla hata ya uzinduzi zimejaa michanga na vumbi nini sababu mainjinia tusaidieni tatizo nini?
Maji ya ziwa Rukwa huwa ni hiyo rangi ya matope throughout but yanatumika kama kawaida kwa matumizi ya nyumbani na kilimo..pengine inatokana na hiyo mito kuanzia ukanda wa nyanda za juu mikoa ya Songwe,Rukwa na Nchi ya Zambia ambako kuna udongo mwekundu wa kilimoLake Rukwa, Tanzania
![]()
March 24, 2020JPEG
An astronaut aboard the International Space Station (ISS) took this photograph of Lake Rukwa, one of the smaller lakes of the East African Rift. The image captures the southernmost 100 kilometers (60 miles) of the lake, one of several that occupy the deep, down-faulted depressions in Earth’s crust that characterize the region.
The straight margins of Lake Rukwa were formed by faults of the rift. Several deltas have formed along the lake margins, with the Songwe and Momba rivers building the largest.
At the time of this photo in March 2020, the distributaries of the Momba and Songwe deltas were pulsing with muddy water. All of the rivers leading to these deltas appear to have brought down mud loosened by rains in the days before the photo was taken, giving Lake Rukwa a red-brown color. The thin darker, green streaks in the middle of the lake may be remnants of clear water from before the influx of mud, or they may be algae blooms. White patches on and near the Songwe River delta are small salt ponds and the open-cast pit of the New Luika gold mine.
Lake Rukwa supports Tanzania’s third largest fishery. The long deep lakes of the Rift region—called the “great lakes of central Africa”—are major tourist attractions. The area to the west of Lake Rukwa (lower left) is part of the Uwanda Rukwa Game Reserve. Previous astronauts also have had their eyes drawn to Lake Bangweulu in neighboring Zambia.
Astronaut photograph ISS062-E-105915 was acquired on March 24, 2020, with a Nikon D5 digital camera using a 170 millimeter lens and is provided by the ISS Crew Earth Observations Facility and the Earth Science and Remote Sensing Unit, Johnson Space Center. The image was taken by a member of the Expedition 62 crew. The image has been cropped and enhanced to improve contrast, and lens artifacts have been removed. The International Space Station Program supports the laboratory as part of the ISS National Lab to help astronauts take pictures of Earth that will be of the greatest value to scientists and the public, and to make those images freely available on the Internet. Additional images taken by astronauts and cosmonauts can be viewed at the NASA/JSC Gateway to Astronaut Photography of Earth. Caption by Justin Wilkinson, Texas State University, JETS Contract at NASA-JSC.
Lake Rukwa, Tanzania
Kenya nzima haina barabara ya 4 lanes ya 100 km!Mambo kama haya hayatakiwi kuishia Dar na Dodoma tuu,nchii sasa miji mingi imekua na idadi ya watu ni kubwa,dualing of roads zifanyike miji yote mikubwa kama huko Kenya
Tanga, Mtwara, Lindi, Shinyanga, Singida, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, na mikoa mingi mingi ukiacha Mbeya, Dar, Arusha na Mwanza, na sasa hivi Dodoma, hakuna kabisa tatizo la msongamano wa MAGARI.Kwa hiyo atumizi ya barabara ni kwa vehicles tuu si ndio? Suala la traffic count zinajulikana kuwa ndio kigezo lakini kusema kwamba eti hali hiyo haijafikia Tzn hasa mijini huo ni uongo na ubishi usio kuwa na faida
Kuna mji gani mkubwa wa Tzn hapa hakuna traffic kubwa? Unajua kwa nini wanapanua barabara ya Moshi- Arusha-Holili kuwa njia 4? ,barabara za miji mikubwa yote kwa sasa zimesongamana na sababu kubwa ni kujenga single lane..barabara ya Mbeya-Tunduma, Mwanza -shinyanga sections plus za mijini zote zimesongamana sana
Pili ukuaji wa uchumi unaongeza kipato watu kumiliki usafiri,ongezeko la watu linatia shinikizo kwenye ununuzi wa magari hasa ya biashara ya usafiri sasa wewe unasemaje kwamba ongezeko la watu halina impacts kwenye uhitaji wa barabara?
Kabla ya Magu taasisi za umma na wakala zake zinazojitegemea zilikuwa na uwezo wa ku act kama sekta binafsi kwa kukusanya pesa zao na kuzitumia kwa miradi yao huki wakitoa gawio kwa serikali kuu na kutekeleza majukumu yao mengineUnajua unachosema?! Mbona hilo jengo sio la private firm
Sasa mbona huko kwenye miji mikubwa hakuna hizo juhudi ukiacha dar na Dodoma? Hata Kenya nimetaja miji yao mikubwa sio kila mji lakini pia kama barabara za mjini zikiwekwa lami zikawa na access nyingi badala ya kutegemea njia moja haziwezi kuwa na msongamano ndio kama Tanga sasa..Mfano Sumbawanga barabara kuu ni moja ambayo ni single lane sasa jioni na asubuhi inaanza kuzidiwa na magari hasa bajaji maana njia za pembeni ya mji sio nyingi sasa by 2025 tayari tutaanza kusubiriana,hakuna kitu nachukia kama foleni.Tanga, Mtwara, Lindi, Shinyanga, Singida, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, na mikoa mingi mingi ukiacha Mbeya, Dar, Arusha na Mwanza, na sasa hivi Dodoma, hakuna kabisa tatizo la msongamano wa MAGARI.
Tanga kwa mfano, unaweza kukaa hata nusu saa na usione Gari lolote linapita City centre zaidi ya baiskeli na pikipiki, hali ni mbaya zaidi kwa Lindi na Mtwara.
Iringa wamejengewa barabara nne, lakini hakuna MAGARI yoyote yanayoitumia, labda ni chini ya 25% ya matumizi ya hii barabara.
Tunduma kuelekea mpanda, huko ndio usiseme, hata masaa mawili yanaweza kupita bila hata Gari moja kupita. Kaka lazima ukubali kwamba mipango ni matumizi, Tanzania kwa sasa ni Mimi michache sana yenye msongamano wa magari.
Kenya hawana mipango mizuri katika vipaumbele vya nchi. Kenya wanatatizo kubwa sana la njaa, maji na ardhi kwa wananchi wa kawaida, nilitegemea Serikali yao kuwekeza pesa nyingi katika hayo maeneo kabla ya kukimbilia katika barabara za njia NNE. Kwanza wafikishe barabara za lami nchi nzima, kuna maeneo mengi ya Kenya hakuna barabara kabisa, vipi wanaanza kufikiria njia NNE kabla ya kufikisha njia mbili?