Mkuu Idmi Tukuyu ninayo ifahamu mimi inatokana keli na miti ya mikuyu, kama ulivyoelezea vizuri.Hata hivyo jina la mji wa Tukuyu ina tokana na hiyo hiyo miti ya Mikuyu ambayo Kinyakyusa inaitwa Mikuju, Tukuyu hadi leo kwa mwenyeji wa pale inaitwa TUKUJU kutokana na asili ya miti hiyo.
Hiyo ni sawa Na Makuyuni.
 
Mkuu Idmi Tukuyu ninayo ifahamu mimi inatokana keli na miti ya mikuyu, kama ulivyoelezea vizuri.Hata hivyo jina la mji wa Tukuyu ina tokana na hiyo hiyo miti ya Mikuyu ambayo Kinyakyusa inaitwa Mikuju, Tukuyu hadi leo kwa mwenyeji wa pale inaitwa TUKUJU kutokana na asili ya miti hiyo.
Hiyo ni sawa Na Makuyuni.
 
Ina maana hizo sehemu kabla wazungu hawajaja zilikuwa hazina majina?
 
Hapo kitambo mitaa ya MwanaNyamala kulikuwa na mapori na wakabaji, kwa hiyo kina mama wa kizaramo walivyokuwa wakifika mitaa hiyo wakawa wanawaambia watoto wao "Mwana Nyamala" maana yake "Mtoto Nyamaza" ili wasisikiwe na maharamia.

Kijito Nyama inawezekana ina uhusiano na Mwana Nyamala, kwamba unavuka kijito ukifika upande wa pili huko "Mwana nyamala" Nyamaa == Kijito Nyamaa mwisho ikawa Kijitonyama.

Mtoni kwa Aziz Ali pamepata jina kutokana na mkazi mmoja alwatani sana marehemu Aziz Ali. Mzee huyu alifariki miaka kadhaa iliyopita kukawa na kesi kubwa sana ya urithi kati ya wanawe.
aziz ali ni IGP MSTAAFU?
 
Inaitwa KOROMIJE...

Jina la hiki kijiji limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja alikuwa anaitwa Jonathan...

Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini, kila wakija kuteka maji asubuhi wanamkuta kalala...

Wakawa wanamind na jina likawa linawatatiza... ndo akawaambia "Call me J" yaani muwe mnaniita J... Wao wakaita KOROMIJE ikawa ndo jina la kijiji hicho.
 
Inaitwa KOROMIJE...

Jina la hiki kijiji limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja alikuwa anaitwa Jonathan...

Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini, kila Wakija kuteka maji asubuhi wanamkuta kalala...

Wakawa wanamind na jina likawa linawatatiza... Ndo akawaambia "Call me J" yaani muwe mnaniita J... Wao wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji hicho
 
Hahaha kumbe suala la lafudhi kwa wasukuma ni kubwa sana ndio maana mkuulu naye anaongoza kwa kuchapia ngeli duniani!!
 
Ulichokiandika na kichwa cha thread Ni vitu viwili tofauti,
Kwan shuleni umeenda kusomea ujinga
 
  1. Bwagamoyo = Bagamoyo. Waarabu hawakuweza kutaja Bwagamoyo wakawa wanatamka Bhagamoyo
  2. Saa ndani = Saadani. Mwarabu alikuwa hawez kutaja neno Saa ndani ndoo akawa anawaelekeza watu kuingia ndani kuangalia saa. Mtu akimuuliza saa ngapi yeye anajibu "SAA DANI" ndo ikawa Saadani
  3. Mwinyi Amani (Soko la Buguruni) = Wabongo Dar es Salaam kwa kupenda kufupisha majina wakaita MwinyiAmani mbaya zaidi wakaharibu kwa kuita MNYAMANI.
  4. Musa Hassan (Eneo) = Pale Msasani kulikuwa na mtu anaitwa Musa Hassan, sasa watu wakawa wanayatamka majina yote yaani Musahasani mbaya zaidi wakaharibu ni kuita Msasani.
  5. Kassam Musa = Huyu alikuwa mchezaji wa Mpira wa timu ya Coastal Union (wagosi wa kaya) au African (wanakimanumanu) za Tanga. sikumbuki vizuri. Ila hadi watangazaji waliunganisha haya majina na kuwa wanamwita Kassamusa badala ya Kassam Musa.
Kwa hiyo majina huzaliwa au huja kutokana na mazoea ya Binadamu
 
Sawa Mkuu
Je uliwahi ku-uliza uliza hapo kujijini kuna mtu anaitwa Paul Makonda au hata Daudi Bashite ili utujuze zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom