Hapana, Tanganyika imetokana na maneno mawili yaani Tawa na Nyika ambapo wajerumani walipokuwa wakiwalazimisha babu zetu kulima kwa nguvu kwenye mashamba ya kikoloni eg mkonge hawakupenda kuwaona hawa babu zetu wakijikusanya kwa maana waliogopa mapinduzi au harakati za mgomo au any kind of retaliation hivyo mjerumani alipowaona hao watumwa wamejikusanya waliwaambia Tanganyika akimaanisha tawanyika hence the name TANGANYIKAKuna mwenyeji mmoja wa Kigoma aliwahi kuniambia kuwa ktkt ziwa Tanganyika kuna samaki wawili mashuhuri sana ambao kwa kiha wanaitwa "Itanga" na "Nyika". Mmoja wao inasemekana ana umeme mkali.
K/hiyo, huenda neno "Tanganyika" limetokana na majina ya samaki hao.
Labda Mh. Zitto Kabwe anaweza kutueleza zaidi.