kasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    Namna ya kutengeneza Pesa kwa kutumia Mawazo

    NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI) Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri. Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
  2. Kasomi

    Tumia Nguvu zako kupata Pesa

    SAFARI YA KUTAFUTA PESA. TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga. Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono. Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...
  3. Kasomi

    Facebook kuanza Monetization (Uvunaji mapato) kwa content creator

    Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense) Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa...
  4. Kasomi

    Facebook yafanya Mabadiliko ya Rangi kwenye Hashtag na Mentions(Tags)

    Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg. Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu akitumia alama ya # kama hashtag Yalikuwa yakitokea maandishi Meusi yenye mkolezo, lakini kwa sasa...
  5. Kasomi

    Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

    Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
  6. Kasomi

    Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

    KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza...
  7. Kasomi

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM). Wanagombea ardhi. Makonda analalamika kuwa GSM anataka kumdhulumu mali yake. Wakili wa...
  8. Comred Mbwana Allyamtu

    Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

    USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM). Na, Comred Mbwana Allyamtu. URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
  9. Kasomi

    Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  10. Kasomi

    Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
  11. Kasomi

    Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022

    Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm) 6. Turkmenistan (7,504 bcm) 7. United Arab Emirates (6,091 bcm) 8. Venezuela (5,740 bcm) 9. Nigeria...
  12. Kasomi

    Nchi zinazozalisha mafuta zaidi duniani 2022

    Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day); 1. United States (12,108) 2. Russia (10,835) 3. Saudi Arabia (9,580) 4. Iraq (4,620) 5. Canada (4,129) 6. China (3,823) 7. United Arab Emirates (3,068) 8. Kuwait (2,652) 9. Brazil (2,604) 10. Iran (2,213)
  13. Kasomi

    Fahamu: Alaska iliuzwa kwa Thamani ya $7.2M

    Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7). Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo...
  14. Kasomi

    6174: 'Kaprekar's Constant' uvumbuzi uliowatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7

    6174: Kwanini takwimu hii imewatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7? Itazame takwimu hii: 6174. Kwa mtazamo wa kwanza, huenda sio kitu kikubwa - lakini imewatatiza wataalamu wa hesabu tangu mwaka 1949. Kwanini? Haya ni mambo ya kustaajabisha na unayostahili kuyafahamu mwenyewe...
  15. Kasomi

    Utabiri: kirefu cha EP mpya ya Diamond ni Father of All

    Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma kidogo (ilikuwa kama Tarehe 4march). Lakini alitoa taarifa ya kusogeza mbele uzinduzi wa EP hiyo. Ila...
  16. Kasomi

    Divide and Rule with Samia

    Kwa historia ya kale na Tanzania kulikuwa na Mfumo wa divide and Rule hii ilikuwa ni Aina au Mfumo wa uongozi. Mfumo huu ulikuwa unatumika kuwagawa na kuwatawala. Naam, why divide and Rule with Samia? Bila shaka Samia Mimi nampachika sifa ya kuwa Best Female Acrobatic (BFA) Hiki ni cheo/sifa...
  17. KIMAROO

    Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
  18. Kasomi

    Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    AINA KUU 2 ZA MADENI. Tokomeza madeni. Kuna aina kuu mbili za madeni. Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya. Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni. Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
  19. Kasomi

    Geita sasa ni kinara wa Matukio; RPC wa Geita Henry Mwaibambe Kazi unayo

    Mkoa wa Geita sasa umekuwa na mfululizo wa matukio Hasa Matukio ya kujinyonga. Karibu kila siku RPC wa Geita Henry Mwaibambe amekuwa akitangaza Matukio hayo. Matukio yanayo ukabili mkoa wa Geita ni Matukio ya vifo hasa kujinyonga na kuuliwa. Kwa mfano kwa Siku ya leo tu ni zaidi ya matukio...
  20. Kasomi

    Tanzania haitakuwa Nchi ya kwanza Duniani kwa Viongozi ku-sacrifice mambo kadhaa kwa ajili ya manufaa ya Taifa na Wananchi wake

    Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake. 1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi. 2. De Clerk...
Back
Top Bottom