Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
1. KIMARA BARUTI

Ukiwa unatoka Ubungo kabla ya Kikifikia hiki kituo cha mwendo kasi cha "KIMARA BARUTI"

Kuna barabara upande wa kulia inaingia Kwenda Msewe na inatokea mpaka University of Dar es salaam

Katika hiyo barabara kama umbali wa mita 400

Palikuwa na eneo ya kiwacha cha Cement (TWIGA CHEMICAL) walipokuwa wanafanyia shughuli za kuhifadhi BARUTI za kupasulia mawe yanayotumika katika kutengenezea CEMENT

na pia palikiwa na Maghala ya kuhifadhi hizo BARUTI na Kambi kubwa ya wafanya kazi wa Kiwanda cha Cement

Eneo hilo la maghala ya BARUTI kwa sasa pamejengwa hospitali ya Wilaya ya Ubungo baada ya Kuchukua eneo hilo la TWIGA CHEMICAL mwaka 2018 baada ya shughuli ya kuhifadhi BARUTI kuhamishwa tangu miaka ya 1990

Kwa sababu ya shughuli hizo za BARUTI eneo la hapo palipokuwa na Watu wengi wanashuka Morogoro road kuingia ndani ya kambi za BARUTI kwa Wingi Mkubwa

Watu wageni wapita njia walikuwa wanauliza Wale watu (Wafanya kazi wa Twiga Chemicals) wanaenda wapi ...? wale watu (Wafanyakazi wa Twige Chemicals) wanatoka wapi

Wenyeji wslikuwa wanawajibu Wanatoka kambi ya BARUTI au Wanaingia kambi ya BARUTI

Eneo hilo likajulikana kama KIMARA BARUTI.

2. KIMARA BUTCHER

Yule Bwana THOMAS LYIMO ambaye pia Wengi walikuwa wanamjua kwa kiwanda chake cha Maziwa cha "THOM DAIRY" born town watakuwa wanayakumbuka alikuwa anagawa bure ktk shule za Mzingi.

kabla ya Kujenga lile Ghorofa pale barabara jirani na kituo cha Mwendo kasi ch BUCHA ambapo kwa sasa wanakaa sana Askari wa Barabarani (Trafiki)

Miaka ya 80 alianza Kwa kujenga Banda moja la chuma lilikuwa linavutia sana wapita njia

Lilikuwa limejengwa kwa mtindo wa Duka ila ni Vyuma tupu

Wakati linajengwa Kila anayepita kwenye gari au Kwa Miguu alikuwa anatamani Kujua lile banda la chuma litakuja kuwa la kitu gani

Baada ya muda kwenda na banda lilipo kamilika akafanya surprise ya kulifanya BUCHA LA NYAMA YA NGURUWE

Baada ya hapo ikawa kila Mtu anasema kumbe BUCHA kumbe BUCHA

Eneo hilo likawa maarufu kama KIMARA BUCHA

Thomas Lyimo aka TOM DAIRIES alikuja kupata msukosuko mkubwa baada ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kulipuliwa

FBI walifanikiwa kubaini kuwa account yake ilipokea pesa kutoka kwa wahusika wa tukio lile

In fact ni mwanae aliyewauzia mitungi mitupu ya gesi magaidi wale bila kujua wataenda kufanyia kazi gani.

Yeye alivutiwa na pesa ndefu waliyomlipa ambayo aliideposit kwenye account ya Baba yake.

FBI walikuwa wanafatilia miamala yote ya muda mfupi kabla, wakati na baada ya tukio ndipo wakamdaka mzee lyimo

Uchunguzi ulianzia pia kwenye chasis number ya gari lililobeba bomu lililolipua Ubalozi na lenyewe kulipuka

Kipande cha Chasis kilisababisha agent aliingiza gari lile anaswe, aliyelinunua na kuliuza hadi mnunuaji wa mwisho.

Hapo ndipo yakachomoza majina ya vijana wawili wa kiarabu ya Ahmed mrefu na Ahmed mfupi.

Hii ni baada ya mmiliki garage maeneo ya gerezani aliyepewa kazi ya kuondoa friji ndani ya gari lile kisha kuchomelea kichanja kilichotumika kushikilia mitungi ya gas, mbolea ya Ammonium phosphate na betri la gari.

3. KIMARA KOROGWE

Jina la kito cha KIMARA KOROGWE siyo la miaka mingi kama majina ya mengine ya Vituo ktk barabara ya Morogoro

Jina la KIMARA KOROGWE limeibuka Miaka ya mwanzoni kabisa ya 90

Eneo lile palikuwa na Jina Mashuhuri ya KIMARA RESORT (upande wa Kushoto kama Unaenda Kimara/Mbezi)

Wazee wa mjini wanakumbuka pale ndiyo palikuwa SAMAKI SAMAKI, palikuwa TIPYS,palikuwa KIDIMBWI au KITAMBAA CHEUPE au ELEMENTS ya miaka ya 60 na 70

Sifa yake nyingine,Mashushushu walikuwa wanajaa kama wote, Kila mtu na Kaunda suti yake ya kitambaa cha Asante Urafiki

Ilikuwa Bar kubwa ambayo Viongozi wa Serikali kama Waziri wa fedha wa Mwalimu Nyerere marehemu Mzee Mbilinyi ndiyo walikuwa wanakunywa pale

Na Bendi kutoka Congo Marquis du Zaire chini ya Wanamziki mahiri kama Kasaloo Kyanga, Nguza Mbangu, Thsimanga Assosa na Ilunga Mbanza KIMARA RESORT ndiyo ulikuwa Uwanja wa Nyumbani

Basi bwana miaka ya Mwanzoni mwa 90 Msambaa mmoja alijulikana kama KIKA alianzisha banda la CHIPSI na Mishikaki nyuma kidogo ya KIMARA RESORT uoande uleule wa kushoto kama unaenda Kimara kabla ya Kufika KIMARA RESORT yenyewe.

Yule Mtu alijua sana Kutengeneza Chips,acha hizi zenu chipsi nene kama dole gumba au Chips unaila mdomoni radha kama Ugali

Yule KIKA alikuwa anapika chips watu wanaweka foleni kununua eti, Magari ya serikali yanasimama kununua Chipsi pale

Nyuma ya banda Kuna Vijana wakisambaa kama 100 wanamenya nagunia ya Chips na Visu vyao vidogo vidogo kama wembe

Chips unayokula January utamu na ubora na radha ndiyo Chips utakayo kula December Daaaahh Sijui kama mnaeewa utamu wa Ile chips (Natamani miaka irudi nyuma mpate kuonja)

Palikuwa hakuna namna upite pale usinujue chips au usifunge za Kupeleka nyumbani (Zamani) Wazazi walikuwa wakila kitu kizuri lazima wawabebee watoto wao nyumbani

Achana na hawa Modern Father na Modern Mother wakikutana na Chakula kizuri wanakula wanafuta mdomo alafu Wakirudi nyumbani wanasema mboga za majani zinaongeza Vitamins

Basi bwana KIKA baada ya banda lake la Chipsi kuwa maarufu na Ukapita muda akawa sasa amejiamini Kulipa banda lake Jina

Akaweka bonge la bango la Kuchora kwa mkono neno "KOROGWE"

Kuanzia wakati huo Jina la RESORT/ KIMARA RESORT likafa kifo cha Mende likaibuka Jina la KIKA la KOROGWE

Jina la KOROGWE likafifisha Jina la na biashara ya KIMARA RESORT hadi leo

Kwa bahati nzuri naona siku hizi Kuna wauza Chips na Kuku wengi pembeni Kituo cha Korogwe cha Mwendo kasi uoande uleule ule Palipokuwa banda la KIKA

Sijui kama wanajua wanamuenzi KIKA mwanzilishi wa Jina la KOROGWE

Hiyo ndiyo KIMARA KOROGWE

4.KIBO

Zamani Watu pia walipaita KIMARA KIBO ila baada ya Kata ya KIMARA kuizaa kata ya UBUNGO mwaka 2000

KIBO iliachwa kutambulika kama KIMARA KIBO sababu mipaka mipya ya kata mpya ya Ubungo ilionyesha KIBO itakuwa kata ya Ubungo na mtaa mmoja wapo wa kati ya mitaa 5 ya kata ya Ubungo ukaitwa KIBO

Zamani miaka ya 2000 kurudi nyuma KIMARA na UBUNGO zilikuwa kata moja na Ofisi ya Mtendaji kata wakati ule anaitwa "KATIBU KATA" ilikuwa pale Jirani na KITUO CHA MAFUTA CHA PUMA cha Kimara Baruti (Sasa ni Ofisi za CCM)-CCM walichukua ofisi za umma wakafanya zao.

JINA la KIBO lilivyopatikana....!

Palikuwa na Mzee mmoja wa Kichaga alijulikana kama "MZEE NAUMU" yeye alikuwa anafanya kazi ya kuendesha maroli katika Shirika la "ZAMBIA TANZANIA ROAD SERVICES"

Kama mnavyojua Wachaga kila wanapoishi Wanapenda Kuwa Jirani na sehemu za mwagilia Moyo

Mzee NAUMU akaanzisha Bar yake barabarani na Week end kikawa ndiyo Kijiwe cha Uhakika wa kupata mbege Safi ya moto

Sifa ya Bar yake ilienea Mashariki,Magharibi,Kaskazini na Kusini

Changamoto ilikuwa eneo la barabara ya morogoro yalikuwa yanafana sana,sababu yote yalikuwa na vilima vikali.

Kutofautisha walikuwa wanasema "KILIMA CHA KWANZA" kwa wanaotokea UBUNGO na wanaotokea Kimara wanasema "KILIMA CHA MWISHO"

Kama njia pekee ta Kumuelekeza mtu anapotaka Kuja hapo BAR siku nyingine au ni mgeni asiyepajua kabisa.

Mzee NAUMU ndiyo akachukua akili ya kuweka JINA LA KIBO BAR alichukua Jina la Mlima KIBO kutoka Mkoani Kilimanjaro

Eneo hilo likawa Jepesi kwa kumuelekeza Mtu kwa kusema KIBO BAR au KIMARA KIBO ili kutofautisha Vilima vya Morogoro road.

Na nikisema "Vilima" Watoto wa siku hizi wanaweza Wasijue,

Hii Morogoro road mnayoiona imejengwa na Mkapa ndiye aliye chonga Vilima Vyote vya Kimara kisha Ikaja kuboreshwa tuh na STRAGAG wakati wa Kikwete

Ile Morogoro road ya kwanza iliyojengwa 1985 ilikuwa balaa

Panda shuka, panda Shuka Kimara ilikuwa na kona kama za milima ya Lukumbura kule Ruvuma au panda shuka panda shuka kama mlima Cha Manyani pale Morogoro.

KIBO BAR hadi sasa Ipo

Ukiwa unatokea Ubungo baada ya Msikiti wa KIBO tuh nyumba inayofuata

Kwa sasa uwezi kuiona ukiwa barabarani kwakuwa mbele Kuna flemu za Maduka na Mti ambao ni Kijiwe cha madalali kabla ya Nyumba ya Mzee Msenge

Hiyo ndiyo KIBO

By Boniface Jacob.
 
Apo bucha mie niliambiwa palikuwa na ajali mingi Sanaa watu wakawa wanamwaga damu ndo wakapaita machinjioo

Ila awo jamaa wachaga na POMBE sijui wamechanjiwaaa? Huenda wakawa among top 5 kwa kumwagilia moyo
 
Nyumba ya mzee Msenge..? Kuna majina duniani
 
Umesahau bahama mama boss
 
History nzuri
 
Back
Top Bottom