Mama mwepesi hana jipya yeye na msoga wake,dotto james,dk bashiru,dk mchembe,kakonko,mfugale hawa ni majambazi sugu wa pesa za watanzania.

Wako wanadunda mtaani tu na magari ya serikali..jicho nyanya hamudu hicho kiti ni katiba imembeba tu,anachoweza ni kushona nguo mpya kila siku
 
kamba huwa inakatikia pabovu, chalamila hakuanza kulalamikiwa leo ni vile 40 yake ishafika

hao wengine mda wao nao utafika tu
 
Mama mwepesi hana jipya yeye na msoga wake,dotto james,dk bashiru,dk mchembe,kakonko,mfugale hawa ni majambazi sugu wa pesa za watanzania.
Wako wanadunda mtaani tu na magari ya serikali..jicho nyanya hamudu hicho kiti ni katiba imembeba tu,anachoweza ni kushona nguo mpya kila siku
Mitano tena kwa mama atawale milele
 
Nimeleta Uzi hapa nikasema hakuna chochote ambacho ameshafanya zaidi ya kukimbizana na wakina sabaya

Bila kufanya mambo yanayoleta multiple effect hakuna kitu

Urais ni issue sio mambo madogo madogo.

Miezi 3 ikulu hakuna umoja wa kitaifa hakuna mkwara juu ya mafisadi, hakuna katiba wala chochote chenye kuleta mabadiliko ya kimfumo.

Ina maana akifa leo bahati mbaya akija mtu type ya jiwe tunarudi kulekule.

Taasisi imara zinahitajika na sio mtu imara.
 
Chalamila karopoka maneno mazito sana ya uchonganishi bila hata ya kufikiria anaongea nini na yupo pembeni ya nani.

Rais Samia anaweza kuwa na udhaifu wake lakini ule uanamke wake pia unachukuliwa kama Gia ya kumnyanyasa.

Chalamila ni mwanamuziki mzuri pia wa nyimbo za asili, hawezi kulala njaa.
 
Huyu Mama kwa muda wote alioishi pale IKULU Alikuwa Snitch mkubwa kwa #JPM.

Tunaweza elewa sasa KIGOGO account ya msoga ilikuwa inapataje nyeti za IKULU tena on the spot.
Kumbe Link ilikuwa ipo very close!
Huna akili wewe. Sada mbona kigogo saizi hapati tena zile habari? Mwenye akili timamu hamwezi kutetea ujinga wa Magufuli na genge la wahuni akina sabaya na chalamila. Hii nchi ni nchi ya wastaarabu. Wasiowastaabu watatangualia mbere , watatuacha sisi
 
Inawezekana udhaifu.

Lakini pia inawezekana unagundua huyo ndiye anayekufaa, ulichepuka kwa tamaa tu.

Kusema kweli kuhamia Dodoma ilikuwa move moja ya kisiasa zaidi. Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kiuchumi au kiusalama, na kadiri muda unavyoenda hilo linaonekana zaidi.

Politics zilizokuwa nyuma ya hiyo move ni zipi?
 
kwa kifupi tu ni kuwa poleni sana sana saaana!

hakuna neno jingine la kuwapatia nyie viumbe mliojaa chuki na husda zaidi ya pole, tena ya herufi kubwa!

Mungu ndiye muweza ya yote, akiamua kupanga lake basi si husda, si fitna, si chuki wala si tamanio la hisia zetu hasi zinazoweza kubadilisha alilopanga.

Mi naendelea kumuomba huyu Mungu amjaalie huyu mama na wenzake wanaotuongoza maono mema, subra na uvumiivu kwani uongozi kwa taifa kubwa kama hili ni mgumu sana sana!
 
Narudia tena kuwa ambao hamumtaki Rais wa watanzania wote SSH sageni nyembe na chupa mnywe #SukumaGang#Mataga
 
Politics zilizokuwa nyuma ya hiyo move ni zipi?
Cold War era/ liberation era politics za kusema Dar haikuwa secure na iko prone to attacks. This is moot.

Habari za Dodoma kuwa kati ya nchi na kuwareachable kirahisi kutoka sehemu zote za nchi nazo ni moot, more than 10% ya watu wapo Dar, na wanaofanya mingle za kiserikali ni disproportinately hao.Zaidi, e-government ilitakiwa kurahisisha huduma, si kuhamisha mji.

Ukweli ni kwamba Nyerere alikuwa haipendi Dar tu, alikuwa anaiita Rumourville, akataka mji mkuu uende sehemu ya kimya, in keeping with his stoic nature. Lakini, hilo haliendani na matakwa ya kiuchumi na kijamii ya nchi.

Ameeingiza nchi gharama kubwa ya kuhamisha mji mkuu na mpaka leo watu wanazunguka Dar to Dodoma and back kwa gharama kubwa sana bila kuongeza tija yoyote.

Mji mkuu ulikuwepo Dar tayari, hakukuwa na haja ya kwenda Dodoma.
 
Kutegemea matokeo mazuri huku kuna lundo la viongozi wasiofaa,wasio na maadili,wala rushwa, wasiowatendea haki wananchi ni kudhani kuwa unapiga hatua kwenda mbele ilhali unarudi nyuma,Mama SSH anafanya vyema kuwatumbua,lazima awe na team smart ili kazi yake itendeke vyema,kwa miaka mi5 tumekuwa chini ya watawala dharimu na jeuri,piga kazi Mama
 
Inshort haikuwa saiz yake ,kupewa kiti kikubwa Kama kile.badala ya ku deal na wezi,na kulinda hazina ya taifa,yy anakazi ya kuteua na kutengua,na kutembea Kenya ,Mara uganda,na kuhangaika na mibarakoa usoni.sasa ndo naanza kukubaliana na akina kakurwa ,walioanza kushtuka mapema kuhusu uwezo wake.hapa kaz tunayo.
 
Back
Top Bottom