Brother wewe ni yule sadistic and pathetic individual.....

Mapinduzi ya uchumi siyo kama unavyotaka kujiaminisha

MUNGU mwenyewe amewapa Binadamu wote UHURU ndiposa mambo mengine yakafuata.

Actually nyie ndiyo mliomharibia Mwendazake-Kutesa watu na kuumiza mkiamini mnaipeleka Nchi mahali.

Mzee mwenyewe alikuwa na mpango mzuri lakini sasa nyie mavijana nyie!!!!!
 
Kila mtu anatafuta 'relief' ionekane mama anamfurahisha, ajabu eti CCM wanampenda na upinzani wanampenda... Huu unafiki sijawah kuuona!! Rais kusifiwa kwa mwenzi wake wa kwanza sio suala jipya nchini... Wapo waliosifiwa na kusemwa kua walitumwa na Mungu..

Naona pia Rais anajaa upepo, anataka kufurahisha kila mtu.. eti kodi ikusanywe kistaarabu... Aya muda utatuambia

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
We hujaona hoja hapo??? Kukopa fedha na kutengeneza madeni makubwa kwa Taifa huku akienda kujenga kijijini kwao chato ndo kuifanya nchi initegemee???

Lazima sukuma gang mteseke sana Safari hii!


Sawa jamaa amekopa pesa nyingi ndani ya muda mfupi,shida iko wapi ikiwa hiyo hela inapelekwa kwenye projects zinazolenga kuikwamua hii nchi kiuchumi ndani ya muda mfupi?..sasa vp wale waliokuwa wanakopa kwa jina la nchi then pesa zenyewe karibu zote zinaishia kwenye mifuko yao binafsi
 
Marehemu POMBE amefanya lipi la kukumbukwa? Kwann usijiulize kwann watanzania wamemshahau mapema kiasi hiki?.
Hii nchi imejitemegea lini bila kutegemea nchi wahisani? Wewe ni lofa Tu uliyeishiwa mipango, MUNGU aliyemwondoa magufuli ndiyo anajua na ndiye aliyepanga haya yote
Sema nafsi yako mkuu JPM hajasahaulika kwa watanzania wazalendo wenye nia njema na nchi yake ila kasahaulika kwa wapiga dili na mafisadi
Ova ova ova
 
Soon tutakwenda ingia kwenye mamikopo ya Covid kama jirani zetu Kenya mpk leo wanadaiwa $2.4 billion wazungu watawapa pesa ila zitakuja na mashariti ikiwemo lockdown
 
Kitu amabacho ili bidi ujiulize ni kwamba ni kwa nini atafute popularity na huku tayari ni popular na alikuwa akiitumikia ilani hiyo hiyo kwa miaka kadhaa, kwani ni mgeni ? na kwanini abadilishe mifumo? jibu ni kwamba hata yeye alikuwa anaona hakuna usawa ila hakuwa na lakufanya cha muhumi kama muunge mkono msaidie aifikie hiyo ilani
 
Kamfufue kichaa aje aipeleke nchi kwenye maendeleo ya kuzimu. Mama samia tenda haki Mungu na watanzania watakuwa upande wako
 
Mama hawezi kamilisha hio miradi, kaanza na gia mbaya ya kufurahisha watu badala ya kuonyesha ni mtu wa kufanya maamuzi magumu. Kama hiyo miradi itakamilika itakamilika michache na kwa kusuasua sana na ni ile mbayo wafadhili wanaisapoti, mambo ya stiglers gorge ambayo yalipingwa sana na wahisani atasua sua sana kuimaliza. Sababu ya kusuasua kuimaliza ni kukosa hela ya kuifanya hiyo miradi, pesa nyingi inaenda kutoka sababu wajanja wengi wanarudi kwa mgongo wa rais kakaribisha wawekezaji, pia kudai pesa iwekwe mifukomi kwa watu, ili ufike mahali fulani ni lazima ujibane bane. Ndio hatua ambayo tulikua nayo kwa JPM, ilikua hatua ya mpito.
Yaani hata mwezi haujapita keshaanza kupigiwa simu na wawekezaji ikulu. Picha mbaya wanaenda muweka kiganjani mwao.
 
Mama ni mama tu.
Hakuna kama Mama.

Mama yetu Samia Suluhu kaza Buti kwa kwenda mbele.
Nchi hii ni yako mpaka 2030. Hakuna kuwalegezea kamba wapuuzi waliozoea kupewa vyeo kama hongo ya kuunga mkono juhudi.
Wengi waliamua kumuabudu kiumbe badala ya muumba kwa sababu tu ya kupata maslahi. Mama Samia hana muda wa kununua watu kama viazi. Fanya kazi atakuona na kuteua sio majungu na fitina.
Hii Hakuna anayeweza kujisifu kuwa yeye ameiletea maendeleo peke yake.
Ni mkoloni pekee ndiye aliyewakuta watu wakiwa wanaishi mapangoni na kuwajengea mashule na mahospitali .

Acheni Fitina mama achape kazi.Nchi itapiga hatua kubwa kuliko wakati wowote.
Waovu jiandaeni kupukutika wenyewe kwa kupigwa chini na mkijifanya nyie ni wakaidi basi mtakutana na mkono wa MUNGU.
 
Mleta mada tunakushangaa kama unavyo mshangaa Mama yetu.
#jamhuri ya muungano wa Tanzania kazi iendelee
 
Wakati wa Magu uliyaelewa? Mshamba ni wewe na magufuli wako.
Kwa hiyo wewe ndo unataka unitangulize mbinguni kwa kunishughulikia siyo??

Kosa lenyewe ni kutoa maoni kinzani na yako siyo, umejipa kazi ya kishetani kiasi hiko siyo??

Teh! teh! tehe!!
Wangapi utawaondoa duniani Kwa kuwa tofauti na wewe,?
 
Back
Top Bottom