tulishasema toka mwanzo kbs hpo hamna kitu,tuliliwa mapema mno sasa kinachotokea nadhani kila mmoja anajionea

dawa za kuleeeee ,ujambazi,kuporoka mapato,kurudi kuwa omba omba itachukua miaka mingi sana kupata dira ya tuliyokuwa tumeipata pengine hiki kizazi kitapita lkn sio sasa

ngojeni moto ukolee wa kutawanya rasilimali za nchi nadhani tutaelewana tu
 
Safari imepwaya imejaa maigizo yanayoleta hofu ya safari yetu ya kujijengea heshima yetu

safari hii imekuwa ya kujishusha sisi yaani tunaonekana ni wakosaji hatuwez

Yule rubani wa kwanza alikuwa akitupa hamasa na nguvu ya kupambaba na kutuambia tunaweza

huyu rubani aliyefuata anatupa hofu tu anajipendekeza tu anatafuta sifa za kulazimisha ambazo hajazifanyia kazi
Nenda kaufufueni ule mzoga wenu kule kenge nyinyi,
 
Ogopa mtu ambae anatanguliza jinsia yake kutwa kutaja jinsia yake kana kwamba yupo pale kwa ajili ya jinsia yake

Dereva ambae kutwa kugeuka nyuma na kuangalia abiria wanafanya nini au kusema nini hakuna binadamu aliyeweza kuridhisha watu wote Mungu mwenyewe alishindwa. Mapambio yamekuwa mengi mpk nawaza rabda kuna watu wamekodiwa kuendesha hizi harakati za kimtandao za hii bendi ya kusifu na kuabudu

# 37/5 itatutesa sana
Wasukuma mtatembea mkiongea peke yenu safari hii mbwa nyinyi
 
Safari imepwaya imejaa maigizo yanayoleta hofu ya safari yetu ya kujijengea heshima yetu

safari hii imekuwa ya kujishusha sisi yaani tunaonekana ni wakosaji hatuwez

Yule rubani wa kwanza alikuwa akitupa hamasa na nguvu ya kupambaba na kutuambia tunaweza

huyu rubani aliyefuata anatupa hofu tu anajipendekeza tu anatafuta sifa za kulazimisha ambazo hajazifanyia kazi
Matagaa tuliwaambia akili ndogo haiwezi shindana na akili kubwa ona Sasa mmebaki yatima
 
Umasikini tu,,, hakuna kingine..

Huwezi kufikiri kitajiri kama hujawai kuwa tajiri...
 
Sote tunafahamu ukiwa unafanya kazi wa tajiri ukitaka akupende hakikisha kuwa haujionyeshi kutaka kujinasua kutoka kwenye makucha

Tajiri atahakikisha kwamba unamnyenyekea na hatapenda kusikia unataka kujitegemea maana furaha ya Tajiri ni umasikini wako

ukiona tajiri anaanza kukutengenezea fitina jua kuwa unataka kujinasua kwenye makucha yake
Ondoa neno Tajiri.... Weka mwajiri.....
Sasa Ukiona kuajiliwa ni utumwa jiajiri
 
Nikisemaga hawa Jamaa ni Mazezeta nina maanisha hawa mataga uzezeta wa fikra hawajui vipaumbele hawajui sisi kama Taifa tunataka nini.

Ajira Ajira Ajira Mama afungue Nchi tupate Ajira
badala ya kuwaza kuwekeza na kuajiri unawaza ajira 1q CXCR4 GP120 zimeumana
 
Poverty mentality. Typical poor african thinking
without poor people then hakuna matajiri thats the truth, kama kila mtu akigaiwa pesa zote duniani kiusawa kila mtu duniani ataoata tsh mil 40, kwahio kila anaetengeneza zaidi ya mil 40 anakula pesa ya mtu mwingine!
 
Back
Top Bottom