Aliesema chanjo hazifai ni aliekuwa raisi na akawataka wizara ya afya watafute njia mbadala.

Hakuna sehemu Dr Gwajima au mtu yeyote kutoka wizara ya afya aliewahi kusema chanjo hazifai, zaidi ya kutekeleza kile walichoagizwa.

Kwakuwa serikali nzima ilikuwa kimya wakati Magufuli anaongea, wote walioenda kupiga chanjo basi wabebe mzigo raisi, makamu, waziri mkuu wote walikuwa kwenye serikali iliyopita.

Mna majungu ya kishamba kweli.
Nashangaa wanamuonea Waziri Gwajima wakati wote walikuwa wanahubiri nyungu!
 
Hii inchi kila siku za kazi tunavyoletewa tozo za kila aina,halafu inavyofika jumapili tamko la askofu linatufanya tusahau yote yaani
 
Funzo kubwa kwa wanawake wengi ukiolewa baki na jina lako jamani sio kukurupukia majina ya wengine unatupa ya ukoo wako
 
Binafsi tangu awamu ya JPM sikupendezwa na huyu mama,ni msela Fulani hivi,nimuonavyo haendani na MH.Samia hata kidogo,Rais anatakiwa kufanya kitu kwa huyu mama asiye na staha hata kidogo.

Lakini pia sioni mwelekeo mzuri kwa huyu mama,anabwabwaja kama mpuuzi fulani ,
 
Aliesema chanjo hazifai ni aliekuwa raisi na akawataka wizara ya afya watafute njia mbadala.

Hakuna sehemu Dr Gwajima au mtu yeyote kutoka wizara ya afya aliewahi kusema chanjo hazifai, zaidi ya kutekeleza kile walichoagizwa.

Kwakuwa serikali nzima ilikuwa kimya wakati Magufuli anaongea, wote walioenda kupiga chanjo basi wabebe mzigo raisi, makamu, waziri mkuu wote walikuwa kwenye serikali iliyopita.

Mna majungu ya kishamba kweli.
Umechemka.Zipo clips za Mollel akisema Hivyo.Hapo pa Dr.Doroth na Mollel kuachia ngazi wizara ndiyo mahali pekee ambapo ninapo patana na Askofu Gwajima ila story zake nyingine kuhusu chanjo ni za kupuuzwa.

Magufuli alishauriwa na watalamu wa afya ili kufikia maamuzi aliyofikia kuhusu chanjo na barakoa kwa Watanzania.Hivyo hawakusimamia ukweli waliokuwa wakiufahamu.
 
Gwajima anarudia zile sarakasi za Bashite, kwani hilo jina lao lina nini cha zaidi? halafu jamaa anapeleka hiyo vita kwenye familia na huyo mzee mjinga asiejielewa anatumika bila kujua.
Sasa na yeye habari za kukutwa na mrembo zilikua zinamhusu nani ... waache wauwane
 
Mzee amekoleza ugomvi wa familia.
Sijui kama kweli ana busara au ni nguvu ya pesa ya gwajiboy imemwacha mzee hana choice.
Ukimfukuza mke wa mwanao ni automatically unamfukuza mwanao.
Mapenzi yalivyo huyo mme wa waziri atazidi kumpenda mke wake kwasas na hivyo ugomvi utakuwa imara kabisa.
Mzee angemwacha gwajiboy mwenyewe ajibizane na shemeji yake na hiyo ingetosha sana.

Ila nawaza huenda hawa jamaa wana ugomvi siku nyingi tu humo kwenye familia yao. Mme wa waziri sidhani kama angemruhusu mkewe aongee maneno yale dhidi ya shemeji yake.

Leo ameafiki ule mkono si wa baunsa tena .

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Funzo kubwa kwa wanawake wengi ukiolewa baki na jina lako jamani sio kukurupukia majina ya wengine unatupa ya ukoo wako
Nadhani hapa tujifunze huu ujinga wa jina la mume na ukoo nikujizalilisha ona sasa Dorothy kisa majukumu yake ya kazi anazalilishwa kwa jina la ukoo mwingine, wakati ukoo mzima wa gwajima ukute hawana shule ka yake
 
"Hakuna sehemu Dr Gwajima au mtu yeyote kutoka wizara ya afya aliewahi kusema chanjo hazifai, zaidi ya kutekeleza kile walichoagizwa. "

Usitufanye hatuna smart phone au tumezaliwa leo kuwa hatukuwahi kuwaona na kuwasikikiza kwenye runinga wakipiga nyungu na kusema chanjo hii haijafanyiwa study ya kutosha, Kama nadanganya nenda YouTube !!

Muwe mnakaa kimya wakati mwingine maana mnajikuta wa ajabu
 
Uhuru wa kuongea ni mzuri ,unawatenga wenye busara na hekima na wasiokuwa nayo
Rais ameachilia uhuru awajue vizuri
 
Ilianza kama mzaha tukamuomba Rais aingilie kati,

na sasa imefikia pabaya hii ndoa sidhan kama itabaki hai yetu macho
View attachment 1903098View attachment 1903099
Methuselah akaache haka ka mawaziri nikaoe mimi. Kako very natural nakapendaga sana!

Dr Dorothy hawa Gwajimas wasikubabaishe na kukuzingua. Piga chini.....mimi nipooo...nakusubiri kwa hamu. Napendaga mno wanawake wanaojikeep natural. For me you are a real queen.
 
Shule sio muhimu bali matendo yake cheki kule kwa bona kaluwa yakamkuta ya kumkuta. Msimamo uwe chukua jina la mume pachika mbele ya majina yako yote hata likiondoka hautapungukiwa kitu.
Nadhani hapa tujifunze huu ujinga wa jina la mume na ukoo nikujizalilisha ona sasa Dorothy kisa majukumu yake ya kazi anazalilishwa kwa jina la ukoo mwingine, wakati ukoo mzima wa gwajima ukute hawana shule ka yake
 
Nadhani hapa tujifunze huu ujinga wa jina la mume na ukoo nikujizalilisha ona sasa Dorothy kisa majukumu yake ya kazi anazalilishwa kwa jina la ukoo mwingine, wakati ukoo mzima wa gwajima ukute hawana shule ka yake

Majukumu yake ya kazi ni pamoja na kumu-attack Rev. Gwajima personally?

Majukumu ya kikazi unazungumzia personal issues za Shemeji yako?

Ni ya kakazi kweli hayo?
 
Back
Top Bottom