Kujaza kanisa kunataka uwezo wa kuupepeta mdomoHii nchi rahisi sana, kama gwajima kajaza kanisa wewe ni nani useme maisha magumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujaza kanisa kunataka uwezo wa kuupepeta mdomoHii nchi rahisi sana, kama gwajima kajaza kanisa wewe ni nani useme maisha magumu?
Sio league Tu Bali lazima ashinde. Alieleta Hadi script ya Bashite yenye Fa Fa zote tena original.huyo mama kaingia chakike, gwaji boy ni mtu wa league
Ilikuwa ni wakati huna jinsi tumia taaluma uliwe kichwa au kuwa loudspeaker mwisho wa mwezi usomeke.Kwa hiyo na yeye alikubali kutuingiza chaka? Kwa nini hakusema ukweli ukizingatia yeye ni mtaalamu wa afya?
Amewataka:
: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu
: Dorothy ni mke wao
: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko
y: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.
: D oroth anasema nilikamatwa na mrembo, je kwani mrembo wana ubaya gani?
--
Kalonji, upo sahihi. Mh. Ndugulile alichukua uamuzi mzuri sana pale alipoonyesha "professionalism" katika suala hili la Corona. Ndio maana aliliwakichwa.Ilikuwa ni wakati huna jinsi tumia taaluma uliwe kichwa au kuwa loudspeaker mwisho wa mwezi usomeke.
Ndungulile alisema ukweli akaliwa kichwa
Jidu...... Unahatari sana Mkuu!Sasa alitaka Askofu Gwajima atesti yeye mwenyewe?
Ogopa sana kwenye "league" upambane na mtu mwenye mapafu ya "cheetah"! Ni mwendo mwanzo mwisho!huyo mama kaingia chakike, gwaji boy ni mtu wa league
Na wewe acha ubishi kipindi mollel anapinga chanjo wasafi fm ulikuwa bado hujaja town"Hakuna sehemu Dr Gwajima au mtu yeyote kutoka wizara ya afya aliewahi kusema chanjo hazifai, zaidi ya kutekeleza kile walichoagizwa. "
Usitufanye hatuna smart phone au tumezaliwa leo kuwa hatukuwahi kuwaona na kuwasikikiza kwenye runinga wakipiga nyungu na kusema chanjo hii haijafanyiwa study ya kutosha, Kama nadanganya nenda YouTube !!
Muwe mnakaa kimya wakati mwingine maana mnajikuta wa ajabu
Yap
Hapo kwa.kuwa wanaona mchungaji anavijisenti ndio.maana!!!!!
Kabisa watu wanadhani wataalamu wote wa afya duniani wanaulewa huo ugonjwa wa COVID kinaga ubaga kama ilivyo kwa malaria.
Huo ugonjwa ni mpya sasa hivi tu kuna discussion za ‘long-haulers’ imebainika kuna wagonjwa wengi sana wanabaki na symptoms za COVID symptoms ata baada ya kupona.
Wataalamu wanataka kujua ni kwanini; sasa info kama hizi zinatokana reports, nchi ambazo zina records za wagonjwa wake na wanasampuli wanayoifuatilia.
In short pathophysiology ya uelewa wa COVID zina badilika kila siku kadri wasayansi wanavyojifunza. Na dunia inajifunza kupitia hizi taasisi zinazo fuatilia kwa karibu huu ugonjwa.
Dr Gwajima (kupitia leadership ya serikali) yeye alisimamia kile alichojua kwa wakati ule na msimamo wa boss.
Hata ivyo hizo chanjo yeye au nani mwingine angeenda ziagiza vipi? wao ndio wanaidhinisha matumizi ya serikali, bila ya kibali cha boss.
If anything dawa asili was the ministry attempt to make the most of what they had.
Hawa watu wanaomlaumu huyu mama ni waajabu kweli kweli.
Ikitokea hivyo hayo yatakuwa maajabu ya karne hii!Wengine tulishauri huyo Mama aachane na mambo binafsi ya huyo jamaa sababu ana uzoefu na hizo battle.
Kuna uwezekano mkubwa huyo Mama akapigwa chini na aliyemteua.
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya jina kuna watu wengine wanatumia Gwajima kwani wao wanasemaje.Waziri tumia jina hilo hilo waende mahakamani
shule inahusiana nini na jina,na huyo mama shule yake haijamkomboa.Nadhani hapa tujifunze huu ujinga wa jina la mume na ukoo nikujizalilisha ona sasa Dorothy kisa majukumu yake ya kazi anazalilishwa kwa jina la ukoo mwingine, wakati ukoo mzima wa gwajima ukute hawana shule ka yake
Dorothy kama mkwe ni aibu tupu,ni pure mchumia tumbo.Anaweza kuuza ukoo mzima huyu.Amewataka:
: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu
: Dorothy ni mke wao
: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko
: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.
: D oroth anasema nilikamatwa na mrembo, je kwani mrembo wana ubaya gani?
--