Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Amewataka:

: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu

: Dorothy ni mke wao

: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko

: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.

: D oroth anasema nilikamatwa na mrembo, je kwani mrembo wana ubaya gani?

--
Mambo yamekuwa mambo huko kwenye kanisa la ufufuo na uzima

Baba Mkwe wa Waziri wa afya Dorothy Gwajima Leo amesisitiza Dorothy abadili jina na atumie jina lake la ukoo wa kinyiramba

Aidha Askofu Gwajima anasema tangu yule Mama aolewe kwenye ukoo wao amekuwa akiwachonganisha sana

Video za Waziri Dorothy na naibu wake Mollel zimerushwa live kanisani walipokuwa wakisema chanjo hazifai na sasa zinafaa

Askofu Gwajima amesisitiza Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu

Askofu Gwajima amedokeza kwa ufupi kuwa kabla ya Dorothy kujiunga kwenye ukoo wa Gwajima aliachika na Mume mungine

Kwa kumuheshimu Rais Samia Gwajima amesema atamwaga mboga siku nyingine kama wataendelea kuwa mawaziri bila kujiuzuru wenyewe
 
Aliesema chanjo hazifai ni aliekuwa raisi na akawataka wizara ya afya watafute njia mbadala.

Hakuna sehemu Dr Gwajima au mtu yeyote kutoka wizara ya afya aliewahi kusema chanjo hazifai, zaidi ya kutekeleza kile walichoagizwa.

Kwakuwa serikali nzima ilikuwa kimya wakati Magufuli anaongea, wote walioenda kupiga chanjo basi wabebe mzigo raisi, makamu, waziri mkuu wote walikuwa kwenye serikali iliyopita.

Mna majungu ya kishamba kweli.
 
Yule waziri aliyekataliwa na mzee wetu nafikiri ni vizuri atumie jina la kwao, atupishe. Tangu aingie familia hatuelewani yaani yuko waluwalu tu hatulii, juzi alisema mume wangu baada ya kuchanjwa ame-test mitambo yangu iko fiti, kiongozi unasema hivyo?-Askofu Josephat Gwajima. https://t.co/5COQwxiCwr
Sasa alitaka Askofu Gwajima atesti yeye mwenyewe?
 
Na leo kapigilia msumari wa mwisho na kufunga mjadala😀

Kesho kaitwa Kamati maadili ya Bunge, kasema wategemee ukweli kama kilivyo kiapo cha Chama cha Mapinduzi'
NITASEMA KWELI FITINA KWANGU MWIKO...
Dua kaomba na kuwataka Naibu na Waziri wake wajiuzulu.....

My attention: Mimi namuelewa sana Mh Rashiid Mchungaji Gwajima, ususani kwenye hili na msimamo wake..
 
Yule waziri aliyekataliwa na mzee wetu nafikiri ni vizuri atumie jina la kwao, atupishe. Tangu aingie familia hatuelewani yaani yuko waluwalu tu hatulii, juzi alisema mume wangu baada ya kuchanjwa ame-test mitambo yangu iko fiti, kiongozi unasema hivyo?-Askofu Josephat Gwajima. https://t.co/5COQwxiCwr
Huyo baba yake hana mamlaka hata kidogo ya kuzuia jina la ukoo kutumiwa na mtoto wake cum mkwe wake.

Suala la jina la ukoo ni la ukoo mzima ambapo huyo mzee, Josephat na Metusela ni nember na hakuna mtu mwenye right kubwa zaidi.

Sheria ya ndoa dunia nzima imeweka wazi haki za mwanamke aliyeoliwa.Moja wapo ya haki ni CONSORTIUM RIGHT ambayo inampa mamlaka mwanamke kutumia jina la mume wake. Nadhani wakili msomi methusela hatokaa kimya tukio hilibaya la wanandugu kutaka kuvunja na kuharibu ndoa yake. That unequivocally amounts to trespass in marriage
 
Mambo yamekuwa mambo huko kwenye kanisa la ufufuo na uzima

Baba Mkwe wa Waziri wa afya Dorothy Gwajima Leo amesisitiza Dorothy abadili jina na atumie jina lake la ukoo wa kinyiramba

Aidha Askofu Gwajima anasema tangu yule Mama aolewe kwenye ukoo wao amekuwa akiwachonganisha sana

Video za Waziri Dorothy na naibu wake Mollel zimerushwa live kanisani walipokuwa wakisema chanjo hazifai na sasa zinafaa

Askofu Gwajima amesisitiza Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu

Askofu Gwajima amedokeza kwa ufupi kuwa kabla ya Dorothy kujiunga kwenye ukoo wa Gwajima aliachika na Mume mungine

Kwa kumuheshimu Rais Samia Gwajima amesema atamwaga mboga siku nyingine kama wataendelea kuwa mawaziri bila kujiuzuru wenyewe
Mwl Kashasha hii kitaalam inaitwa kukabia pembeni hahahaha
 
Back
Top Bottom