kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 12,377
- 14,073
Mimi sijasema hata Mimi niliuliza wa mjini ipiMakala ana utoto wa mjini upi? Kwao Mvomero huko kijijini!
Mimi sijasema hata Mimi niliuliza wa mjini ipiMakala ana utoto wa mjini upi? Kwao Mvomero huko kijijini!
Wangekutoa 72 hours vile sifa ungeimwagia JF ukasahau uneenda kueneza uongo wa kijani!!Wangenipa mimi huo uenezi
Ally Hapi ni mfano mzuri kwa kufanya kilimo baada ya kutenguliwa ukuu wa mkoa. Ameonesha kwa vitendo kwamba siyo lazima apate cheo cha kisiasa ili aishi.
Kwa uzoefu aliopata kwenye kilimo, atakuwa kiongozi anayejua shida za wakulima.
si ni huyo papaa makalla, mtoto wa mjini.Duuuuuh upande wa mwenezi sijaona mtu mwenye kujipamba ccm na kuwafanya watanzania waiamini na kuweza kuipa kura tena
Kwani hata sahivi c atakua analima pia.Hapi si angelibaki shamba tu, alime zake nyanya mbona kama kilimo kilikua kinamjubali.
Nashangaa na mie hapo,Teuzi ziendane na hadhi basi jamani, Alli Happi na unoja wa wazazi wapi na wapi?
Sadist ni nani ?Ni ngumu Santa sadist kupewa nchi madhara yake ni makubwa mno!!
Huyo hawezi pewa!
Nani anayetoa ?Ni ngumu Santa sadist kupewa nchi madhara yake ni makubwa mno!!
Huyo hawezi pewa!
😂😂😂😂😂😂😂Wangekutoa 72 hours vile sifa ungeimwagia JF ukasahau uneenda kueneza uongo wa kijani!!
Ally Happi wangempeleka aliko Bashe kisha Bashe wampeleke kwa wazaziTeuzi ziendane na hadhi basi jamani, Alli Happi na umoja wa wazazi wapi na wapi jamani?
Lucas Mwaashambwa na Mayalla naona wanaendelea kukosa mvuto.Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreteriet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kuwachagua wajumbe kama ifuatavyo:
Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye pia ni Mwenye kiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 – 2025.
- Ndugu John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi Macha ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga,
- Ndugu Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Ndugu Paul Makonda ambaye ameteulia kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha.
- Ndugu Ally Salum Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Ndugu Gilbert Kalima ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,
- Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM akichukua nafasi ya Ndugu Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
IMETOLEWA NA IDARA YA ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO 03 APRIL, 2024
coz kishakuwa faza...!Bashe wampeleke kwa wazazi
Muda wa Mungu bado.Lucas Mwaashambwa na Mayalla naona wanaendelea kukosa mvuto.
Basha wa nani jamani fungua code jamani mamy akeHappi amerudi kwenye cake ya taifa?? Km namuona kidampaa akifurahi kututambia wenzie, basha wake kapata teuzi.
Tutakomaaaa mwaka huu,