Amos Makalla: Leteni kero za kweli sio fitina

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,859
4,665

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya fitina huku akisema hatoshughulika na kero hizo hadharani kwakuwa nyingine ni za faragha.

Akiongea akiwa Mkoani Rukwa anakoendelea na ziara pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makalla amesema “Kama kuna Mtu ana kero aje hapa mkutano utaendelea Mimi nitakusikiliza lakini kero iwe ya kweli isiwe fitina, na Mimi siwezi kufika nikatangaza hapa aah , kuna Mama jambo moja kanieleza jana faragha la ndoa sasa ningempandisha hapa aseme Mimi na Mume wangu tunagombana, aah nilikaa nae akanieleza nikampa Wanasheria wakamshauri”

“Kwa Watendaji wa Serikali Mkuu wa Mkoa na Ma-DC wana utaratibu wa kusikiliza kero, Wananchi nendeni kwenye kero msisubiri Viongozi wa Kitaifa lakini pia Watendaji mkiwasikiliza hizi kero za Wananchi hakikisheni mnatoa majawabu “

Pia soma

- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
 
Sawa kabisa.
Hivyo ndivyo serikali inavyofanya kazi .siyo amri na maigizo barabarani. Aliyemwambia mwenezi aliyepita kwqmba kero hutatuliwa barabarani ni nani??
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya fitina huku akisema hatoshughulika na kero hizo hadharani kwakuwa nyingine ni za faragha.

Akiongea akiwa Mkoani Rukwa anakoendelea na ziara pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makalla amesema “Kama kuna Mtu ana kero aje hapa mkutano utaendelea Mimi nitakusikiliza lakini kero iwe ya kweli isiwe fitina, na Mimi siwezi kufika nikatangaza hapa aah , kuna Mama jambo moja kanieleza jana faragha la ndoa sasa ningempandisha hapa aseme Mimi na Mume wangu tunagombana, aah nilikaa nae akanieleza nikampa Wanasheria wakamshauri”

“Kwa Watendaji wa Serikali Mkuu wa Mkoa na Ma-DC wana utaratibu wa kusikiliza kero, Wananchi nendeni kwenye kero msisubiri Viongozi wa Kitaifa lakini pia Watendaji mkiwasikiliza hizi kero za Wananchi hakikisheni mnatoa majawabu “

Pia soma
- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Ndonga nyingine hii kwa yule mtangulizi wake nyamitako
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Hii style yake sisi watanzania hatuipendi huyu hatadumu kwenye hicho nafasi chama kitapoa sana muda si mrefu..
 
Wananchi waruhusiwe kusema kero zao hadharani na yule anayetaka faragha asikilizwe faragha lakini vinginevyo hakuna kitakachofanyika kwa sababu hadi mtu anaenda kwa viongozi wa chama kulalamika inawezekana ameshazungushwa sana sasa kiongozi unapoongea naye halafu unamwambia aende kwa mkurugenzi wa halmashauri labda wakati huko ameshazungushwa sana unakuwa haujatatua kero yake.
 
Hii style yake sisi watanzania hatuipendi huyu hatadumu kwenye hicho nafasi chama kitapoa sana muda si mrefu..
Hii style ndiyo inatakiwa. Ya yule Bashite ilikuwa mbaya na isiyofaa ndiyo maana kashushwa cheo akahangaike na madawati ya shule ya msingi Longido
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya fitina huku akisema hatoshughulika na kero hizo hadharani kwakuwa nyingine ni za faragha.

Akiongea akiwa Mkoani Rukwa anakoendelea na ziara pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makalla amesema “Kama kuna Mtu ana kero aje hapa mkutano utaendelea Mimi nitakusikiliza lakini kero iwe ya kweli isiwe fitina, na Mimi siwezi kufika nikatangaza hapa aah , kuna Mama jambo moja kanieleza jana faragha la ndoa sasa ningempandisha hapa aseme Mimi na Mume wangu tunagombana, aah nilikaa nae akanieleza nikampa Wanasheria wakamshauri”

“Kwa Watendaji wa Serikali Mkuu wa Mkoa na Ma-DC wana utaratibu wa kusikiliza kero, Wananchi nendeni kwenye kero msisubiri Viongozi wa Kitaifa lakini pia Watendaji mkiwasikiliza hizi kero za Wananchi hakikisheni mnatoa majawabu “

Pia soma

- Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
MTANGULIZI wako yeye alikuwa anataka Kero za Fitina majungu na kudhalilisha Watendaji
 
Hivi ni kweli akina Amos Makala na wenzie hawazijui kero,shida na mitanziko ya Watanzania hadi wamefika umri huo?Hawajui vyanzo na hawatajua njia za kutanzua.Huu ni utapeli kamili.
 
Back
Top Bottom