Hivi hiki chama kinachojinasibu kua nauungwaji mkono na mamilioni yabwafuas? Inakuaje majina ni yale yale kakikundi cha watu fulani wana recycle toa hapa weka pale halafu watu hawa utegemee waje kuleta mabadiliko? Hivi nyie wanachama wengine mnajisikiaje au ndio wakati wenu wakula na nyinyi utafika?
 
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Sioni kama kuna kiongozi mwenye ushawishi na mvuto kwa wananchi hapo.Makala hiyo nafasi hawezi kuimudu hata kidogo kwa kuwa hata kauli zake huwa si za staha.naona mama atatengua na kuteua sana.wahasibu huwa siyo watu wa siasa sasa hapo makala kazi kweli kweli.
 
Makalla mganga wake mkali, kila siku yupo kwenye ulaji tu, akitolewa huku anapelekwa kule, Mzee wa Gugu nyota imewaka. Huku Morogoro anajenga mi appartment tu kama uchafu. Kila hotel ananunua yeye, kweli huu muda wenu.
 
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 03 April, 2024 jijini Dar Es Salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri...
Ccm kungoka ngumu sana labda katiba mpya. Maana ukitaka katibu Tarawa utapata, ukichokwa hutupwi ukakasirika utatupwa katibu tawala, ukichokwa utapigwa mkuu wa wilaya.

Weye utatembea ktk madaraka mpaka uzeeke. Fursa nyingi ukiwa ccm. Kua mpinzani Tanzania uwe na moyo na unahitika kupewa nishati. Au nakosea wadau?

Bila ya katiba wapinzani wasahau tena wasahau
 
Nafasi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inapaswa kuwa ya Vijana damu changa na sio wazee dizaini ya Amos Makala.

Kwa uteuzi huu sitoshangaa mama kurudi tena mezani kabla ya 2025 kusaka Mwenezi mwingine.

Waliowahi kushika hizo nafasi watu kama Nape Mnauye,Pole pole,Shaka,Makonda hao ndio size Ili walete amsha amsha.

Ingefaa kabisa Jokate angefaa zaidi kwenye hiyo nafasi badala ya bwana Makala ambae umri umesogea.

View: https://www.instagram.com/reel/C5TdwX_q5Hg/?igsh=Z2hhdDB6ODE1OTZ6

My Take
Naunga mkono hoja ya wazee wa minyama kumkataa Makala.

Namshauri Mwenyekiti awe anaziba maskini Kwa Baadhi ya ushauri,ilikuwa mapema sana kumtoa Makonda ilitakiwa wampe mda mihemko ikiisha angekuwa sawa maana wangemkanya tuu Kwa Baadhi ya mambo.
 
Back
Top Bottom