NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini?

Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??

Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.

---
Kwa mjibu wa sheria za CAF! Zikipita dakika 10 bila umeme kutengamaa, basi yanga ataaga mashindano hayo leo!

Hii ni mara ya pili baada ya ile mechi ya Taifa stars na Uganda, shida ni nini?

Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa inayohusisha Timu za Yanga na Rivers!

Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!

Kila mtu aliyewahi kulalamikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya na kuwa ya hovyo hovyo tu

Nchi nzima kwani imekosa watu makini hadi iwe yuleyule tu aliyefeli hata kabla ya kuanza?

Hivi majuzi kwenye ziara ya Rais kabisa kule Arusha! Umeme ulikatika mbele yake na bado mh Januar Makamba bado aliendelea kuwa waziri

Mfano

Makonda!

Taa.jpg
 
Aibu naona mm. Milioni 5 kila goli ambazo zimeongezwa kuwa milioni 10 kila mechi zingetosha kabisa kufanya marekebisho ya taa ili tukaondokana na fedheha hii

Nikizikumbuka tambo za goli la mama nikalinganisha na fedheha hii aibu naona mm.
 
Hii ni mara ya pili baada ya ile mechi ya Taifa stars na Uganda, shida ni nini?

Tukienda tu kwa kubembelezana kama ilivyo kwa Waziri wa Nishati! Iko siku tutapata bonge la Aibu zaidi ya hili la umeme kuwa mdogo kwenye uwanja wa Mkapa mechi ya kimataifa inayohusisha Timu za Tanga na Rivers!

Halafu sijui ni kwa nini huwa inakuwa hivi!

Kila mtu aliyewahi kulalamikiwa sana na wananchi kwenye tawala hizi, mtu huyo huja kuwa sababu ya serikali kufeli vibaya na kuwa ya hovyo hovyo tu

Nchi nzima kwani imekosa watu makini hadi iwe yuleyule tu aliyefeli hata kabla ya kuanza?

Hivi majuzi kwenye ziara ya Rais kabisa kule Arusha! Umeme ulikatika mbele yake na bado mh Januar Makamba bado aliendelea kuwa waziri

Mfano

Makonda!
Umeme umekatika kabisa !!
 
Back
Top Bottom