zanzibar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia maliza kazi ipapatue Zanzibar kwenye makucha ya mkoloni mweusi

    Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo. Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja. Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi

    Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali. Rais Dk. Hussein...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Unajua sababu gani Zanzibar ufaulu Sekondari uko chini sana?

    Tulimsikia Rais Samia akitoa mfano wa Zanzibar wa kuruhusu wasichana wanaopata mimba kurudi kuendelea na elimu ya sekondari kwenye shule za umma. Lakini ambacho hakutaka kusema ni ufaulu hafifu wa muda mrefu wa Zanzibar kwenye mitihani ya kufuzu elimu ya sekondari. Ilifikia hatua hadi kudai...
  4. aleesha

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    "Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi. ==== Rais Mwinyi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Wanapopaa ijue Siri ya Mafanikio yao

    Tofautisha au hata fananisha pande mbili hizi za Muungano. Yanayojiri Zanzibar ni kama hivi: Yanayojiri Bara ni haya hapa: Si hayo tu bali hata yale ya 21% ya ajira JMT ni mahsusi kwa Zanzibar. Ama kweli Zanzibar kumewiva: Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania akitokea Zanzibar nchi inabarikiwa sana

    Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru imezagaa kila kona ya Tanzania kama ni Mwenge basi wewe ndie Mwenge wenyewe, endelea kumulika...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

    SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali. Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa? Hata hivyo, kunoga huku huko Zanzibar kunatuhusu pia sisi huku bara? Au huku kwetu ni yale ya matetemeko Kagera...
  10. Huja

    JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hotel tano za Jambiani, zateketea kwa moto

    Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Hotel 5 zilizopo Jambiani Zanzibar zinateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo hakijafahamika na kwamba hoteli zilizoathirika ni pamoja na Villa de Coco, Sharazad, Spice island, Fun Beach na Cobe. Chanzo: TSN
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la? Hebu tazama 1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wana vitu gani vya kujivunia ukiachana na fukwe na utamaduni wao?

    Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima. Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Mwinyi; Bandari ya Zanzibar unaiua kwa haya mambo unayoyafanya

    Mheshimiwa wakati unaingia madarakani , wazanzibari wengi nyoyo zetu zilifarijika kwa jinsi ulivoanza kuchapa kazi. Ziara yako ya bandarini iliibua matumaini kwamba yajayo ni neema tupu. Mwaka mmoja sasa tokea ushike madaraka , hakuna kilichobadilika zaidi ya kuongezeka kwa usumbufu wa utitiri...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kitaifa ukoje katika hili huko Zanzibar

    Rais, M/wa kwanza wa Rais M/wa pili wa Rais. Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais? 1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais. 2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika. 3. Rais...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi na CAG Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika kusimamia mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, huku akibainisha kuwa Serikali...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
Back
Top Bottom