Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi.

Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.

Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia PhD yake... Tulia yupo Zenji nao kusapoti harakati za mtu mweusi....

Upendo Utuongoze
IMG_20211126_075829_214.jpg
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza.

Sikujua kama Tulia ana Mume.

Familia hii ina watoto wangapi?
 
Mume wa Tulia anaitwa James Andilile,kuna kipindi alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC,nadhani alirudishwa Wizara ya Nishati na Madini
 
Tuliooa fom foo felia tuliwaza kupga miti tu na sio kuwa na familia yenye nguv kiutawala na uchumi.

Ambao hamjaoa, oeni wasomi, hawa elimu ndogo pga mti tu unatema
 
Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi.
Kwenda kusomea kwa Bimkubwa wakati Dodoma kuna madarasa ni kijembe
 
Huyo ni kama alivyokuwa yule mbunge wa Mkuranga. Bara ni shamba la bibi.

Mwinyi asili yake ni Mkuranga asilimia mia mama yake Ndio mzazibari..
Mwinyi mkubwa hata kaburi la baba yake liko bara ...
Waliamia Znz baadae
 
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na mkewe ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah wamehitimu shahada ya uzamili katika uongozi na utawala bora (Masters in Governance and Leadership) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Mahafali yamefanyika Zanzibar.

https://t.co/zWkaeF9Oso
IMG_20211126_025604.jpg
IMG_20211126_025326.jpg
IMG_20211126_025320.jpg
 
Back
Top Bottom