zanzibar

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini . Ninawasilisha
  3. nyboma

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

    Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu. Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar kutekeleza kwa Pamoja Anwani za Makazi

    TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI  Utekelezaji Tanzania Bara wafikia 3% na Zanzibar 7%  Ifikapo Mwezi Mei, 2022 utekelezaji unahitajika ufike 100%  Anwani kupatikana kwenye programu tumizi maalum ya TEHAMA ya NaPA  Kutekelezwa kwa Shilingi Bilioni 28...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Mrithi wa Maalimu Seif Zanzibar na mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA

    Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Sekretarieti ya Chama kwa Mikoa ya Zanzibar

    ZIARA YA SEKRETARIETI YA CHAMA KWA MIKOA YA ZANZIBAR. Leo tarehe 19/02/2022, Kaimu Naibu Katibu Zanzibar, Ndugu Salim Bimani ameongoza ujumbe wa Kamati ya Mashauriano ya Zanzibar ambayo ni Sehemu ya Sekretariati ya Chama Taifa katika ziara Maalum ya Kichama. Ziara hii ina lengo la Kutekeleza...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo: 1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar? 2. Kwanini ni ngumu ajira za Zanzibar kuhusisha Watanganyika? 3. Kwanini wana rais wao na bendera yao? 4. Kwanini wana taasisi zao zinazojitegemea kama mahakama...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa Zanzibar, IGP na Mzee Boazi watakubali kufika mahakamani kutoa ushahidi au Jaji atakataa wasiletwe Mahakamani?

    Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao 1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Comrade Ali Sultan Issa: A Revolutionary Icon

    Comrade Ali Sultan Issa Al-Ismaily, who passed away on January 3, 2022, three months shy of his 90th birthday, was iconic, if controversial, figure in Zanzibari politics. The fact that his death was totally ignored by Zanzibar’s official media speaks volumes on the government’s much-vaunted...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli kafia Tanganyika kafufukia Zanzibar

    Kwa spidi ya kazi ya Mhe. Rais wa SMZ Dr. Hussein Ali Mwinyi, ni wazi kwamba maneno ya Mhe. Magufuli kwamba ninataka kuibadili Zanzibar hayakumaanisha kwamba atawapa Wazanzibari fedha bali kumbe sasa imedhihiri kwamba alimaanisha atawapa kiongozi mahiri wa mfano atayeibadili Zanzibar kwa muda...
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Mwaka Mmoja tunaweza kuziunganisha Tanganyika na Unguja kwa barabara

    Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias. Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Zanzibar kwa sasa haina wagonjwa wa COVID-19

    Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo umeisha moja kwa moja visiwani hapo. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameyazungumza hayo...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar hiyooo yapaa, $2 Billion Growth plan !

    Mambo ya Raisi Mwinyi hayo kwa Zanzibar yake, wanaplan beyond tourism na uwekezaji wa 2 Billion USD. Zingatia Zanzibar ina watu kama milioni 1.5 tu!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ole Ngurumwa: Wilaya ya Ngorongoro ni kubwa sana; nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 na DSM inaingia mara 10. Wamasai waachwe wilayani humo

    Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro. Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

    Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na taifa kupata hasara mabilioni ya fedha zilizopotea bure bila kuleta matokeo... Katika bunge hilo la...
  19. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

    Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo? Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio. Kama swala...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
Back
Top Bottom