zanzibar

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatafuta maoni ya wadau kuhusu cryptocurrency

    Waziri wa Nchi, Uchumi na Uwekezaji wa Zanzibar, Mudrick Soraga amesema watakutana na wadau wa fedha za mtandao ili kupata maoni kuhusu fedha hizo Watakutana na wadau katika wiki ya tatu ya mwezi huu, ili kujua kama kuna haja ya kutumia cryptocurrency kwenye miamala Rais wa Tanzania, Samia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msiilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa

    Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar katika kiwango kikuu na kabla jua halijakuchwa kiumbe mwengine akaibuka huyu nae ndio amepigilia...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi. Jaji Warioba alisema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akichangia mjadala katika kongamano la uzinduzi wa...
  4. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

    === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

    Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana. Zanzibar...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi Katika Kutimiza Mwaka Mmoja wa Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar | Novemba 6, 2021

    Hotuba ya Rais Mwinyi mheshimiwa Othman Masoud Othman; Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Jaji Khamis Ramadhan Abdalla, Kaimu Jaji Mkuu wa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya Sana kwa hawa ndugu zetu kule Zanzibar

    Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200, kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Ilikuwa kwenye uzinduzi wa Maalim Seif Foundation ambapo majina mazito mazito pia yalikuwapo. Walikuwapo kina Samia, Hussein Mwinyi, Othman Massoud, Jussa nk katika wanao matter kwenye siasa za Zanzibar. Hotuba za kusisimua zikitolewa na waliokuwa mahasimu kweli kweli. Ikumbukwe tumetokea...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

    Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya...
  10. aleesha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar naomba mulione hilo

    Nikiwa Mtanzania mwenye mwingiliano mkubwa na watu wa visiwa vya Zanzibar, sina budi kusimama kidete kwa masilahi mapana ya Nchi hii bila kupepesa Macho. Nitazungumza kuhusu suala la umiliki wa ardhi kwa wageni. Kwa mujibu wa sheria, ardhi ni ya serikali lakini pia serikali ikaweka utararibu...
  11. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Zanzibar kwenye maadhimisho ya maisha ya Maalim Seif yadumishwe

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza maadhimisho ya maisha ya Maalim Seif, kubwa zaidi ikiwa kuzindua taasisi ya jabali huyo wa siasa za Visiwani. Nilichokipenda sana kwenye shughuli ya leo ni namna ambavyo watu kutoka makundi mbalimabli waliletwa pamoja : viongpzi wa dini na wanasiasa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Heshima aliyopewa Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar na Rais Samora Machel

    30 October 2021 Part 1: Bi Naila Majid Jidawi mwenye umri wa miaka 77, anasimulia kuhusu mumewe, Marehemu, Kanali Ali Mahfoudh, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, akapata mafunzo ya kijeshi Cuba na akawa miongoni mwa walioshiriki kuipindua serikali ya uhuru ya Zanzibar mwaka 1964, lakini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar 1966 na Gurnah

    Naomba msaada kutoka mtu anayejua vizuri historia ya Zanzibar. Abdulrazak Gurnah aliyeshinda Tuzo la Nobel la Fasihi alizaliwa 1948 akaondoka kwenda Uingereza alipokuwa na umri wa miaka 18. Nimesoma mara kwa mara alipaswa kukimbia; magazeti mengi yanaandika kwamba alipaswa kuwa mkimbizi kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Zanzibar inaenda vizuri kwenye utalii

    Kwa miaka yote nilikuwa nikitaka kwenda Tanzania kwa KLM ilikuwa lazima ipitie KIA kushusha wageni lakini kwa mara ya kwanza ndege yangu itatua Zanzibar halafu inaenda Dar. KLM siku moja wanaenda Zanzibar na siku inayofuata wanaenda KIA. Lakini hoteli za Zanzibar nimeona zimepanda bei sana...
  16. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

    Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu. Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Abdulaziz Lodhi bingwa wa taaluma za Lugha

    SIMULIZI NDEFU ZA KUVUTIA ZA PROF. ABDULAZIZ LODHI, KTK MAHOJIANO MAREFU NA MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA GUMZO LA GHASSANI Mzalendo mzanzibari Profesa Abdulaziz Lodhi, bingwa wa taaluma za Lugha anasimulia Zanzibar kabla ya uhuru na baada ya Mapinduzi pia mchango wake ktk elimu Zanzibar na...
  18. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

    Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA? Mwenye Ufahamu atujuze
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

    Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtake msitake Zanzibar ni nchi na wataoajiriwa ni Wazanzibari. Huwezi kumwacha mzawa Mzanzibari ukamweka mtu wa bara

    Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana. Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati...
Back
Top Bottom