Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1636888602749.png
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli. Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
 
Mwaka 1950 utumwa ulisha pigwa marufuku duniani kote.
Waafrika wote kwenye hii picha inaonekana ni watu hohehahe hao waasia inaoneka wana nafuu ya kiuchumi na imekuwa hivyo mpaka sasa kwa tanzania waafrika (weusi) ni wa mwisho kiuchumi lakini afrika magharibi matajiri wengi ni weusi kwa mfano Nigeria top 5 hakuna mtu wa asia angalau ghana kidooogo ndo wapo waasia wachache top 5!
 
Waafrika wote kwenye hii picha inaonekana ni watu hohehahe hao waasia inaoneka wana nafuu ya kiuchumi na imekuwa hivyo mpaka sasa kwa tanzania waafrika (weusi) ni wa mwisho kiuchumi lakini afrika magharibi matajiri wengi ni weusi kwa mfano Nigeria top 5 hakuna mtu wa asia angalau ghana k ndo wapo waasia wachache top 5 !!!
Waasia wengi babu zao waliingia na idea za biashara. Waliuza meno ya tembo, madini na ngozi za wanyama na waliingiza sukari, nguo, mchele, unga wa ngano, sabuni na mafuta yote.
 
Yaani waswahili wameteswa na hawa masultan balaa, lakini hadi leo wanawwaabudu. embu cheki huyo hapo nyuma alivyochokaa ila anaona fresh tu kwasababu yupo karibu na mwarabu.

kitu kingine nimejifunza juzi ni kwamba, kumbe Wajerumani walikinunuaga kisiwa cha mafia kikawa mali ya Germany East AFrica, kwahiyo ule uozo mjinga mmoja wa zenji alikuja kusema mafia ni zanzibar, asifikiri kila kisiwa bahari ya hidi ni cha zanzibar, kama vipi hata madagascar ni zanzibar.
 
yaani waswahili wameteswa na hawa masultan balaa, lakini hadi leo wanawwaabudu. embu cheki huyo hapo nyuma alivyochokaa ila anaona fresh tu kwasababu yupo karibu na mwarabu.

kitu kingine nimejifunza juzi ni kwamba, kumbe Wajerumani walikinunuaga kisiwa cha mafia kikawa mali ya Germany East AFrica, kwahiyo ule uozo mjinga mmoja wa zenji alikuja kusema mafia ni zanzibar, asifikiri kila kisiwa bahari ya hidi ni cha zanzibar, kama vipi hata madagascar ni zanzibar.
 
Back
Top Bottom