kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,074
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.

Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na kujua ipi ya mwisho na ipi ya kwanza.

kusema ukweli skul za zanzibza mwaka huu zimefanya vizuri na zimepanda kulinganisha na miaka ya nyuma

Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kuwa skul ya mwanakwerekwe b ndiyo kinara ya skul zote za serikali zanzibar kwa kufaulisha.

Je ni kweli? kuna skul imeizidi Mwanakwerekwe?

Screenshot 2023-01-29 at 10-38-17 https __matokeo.necta.go.tz.png
 
Back
Top Bottom