Last Seen
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 223
- 549
Habari wana Jukwaa!
Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu.
Zanzibar imekuwa sio kipenzi cha wanafunzi kutoka bara kwenda Tanzania visiwani kupata elimu, iwe sekondari au elimu ta juu, kiwango cha elimu kiko chini mno na kunahitajika mikakati mbadala kuinusuru elimu ya Zanzibar.
Sijaweza kufanya tafiti za kutosha kuhusu Elimu inayotolewa huko...ila naona kuna shida mahali kati ya Wanafunzi au Walimu au hata Serikali.
Nimeona nililete hapa jukwaani ili wataalamu wa Mambo waweze kutoa maoni nini kifanyike.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.