zanzibar

  1. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

    Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linatangaza nafasi kama ifuatavyo:
  2. FaizaFoxy

    Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  3. and 998 others

    Nyerere Vs Zanzibar

    Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia alimpoka madaraka Aboud Jumbe bila sababu ya msingi
  4. Mto Songwe

    Kwanini Zanzibar haipewi uhuru wake toka kwa Watanganyika?

    Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu. Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake kama nchi huru? NB: Hivi ni kweli Nyerere aliuchukia ukoloni na utumwa au ilikuwa kinyume chake?
  5. F

    Tanganyika Occupation of Zanzibar should end ASAP

    It's been 58 yrs. now Tanganyika have taken away the indepence of our country Zanzibar. We got our indepence from Britain and became a member of the United Nations. Kenya also became a member of the UN on the same day, As a member of UN, we fall under every security council resolution...
  6. A

    Zanzibar uchafu ni utamaduni?

    Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
  7. B

    Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

    Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
  8. G-Mdadisi

    Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  9. G-Mdadisi

    Media stakeholders meet with Members of the Zanzibar Law Reform Commission

    Director of the Tanzania Media Association (TAMWA ZNZ), Dr. Mzuri Issa said it is important to adopt friendly media laws in Zanzibar that lead to the existence of freedom of expression and access to information in the society. She said that in meeting is during a meeting held at Takwimu House...
  10. M

    India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  11. Jidu La Mabambasi

    Tony Blair, angel of Darkness yuko Zanzibar!

    Daily News 6 Oct. Pg3 Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu. Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia. Rais Mwinyi chonde chonde...
  12. and 998 others

    Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

    Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi. Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia...
  13. Baba Ndubwi

    Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  14. Candela

    Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
  15. Mahabey

    Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    "Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki? Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?" Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara. Kwa hili, Naomba...
  16. Erythrocyte

    Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  17. A

    Zanzibar bila Tanganyika

    Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa Tanganyika. iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
  18. Erythrocyte

    Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  19. M

    Peter Madeleka atua Kizimkazi Zanzibar ili kusikiliza kero, manyanayaso na uonevu wa serikali ya CCM chini ya ras Samia.

  20. IBRA wa PILI

    Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
Back
Top Bottom